Tuesday, 13 February 2024

UHUSIANO KATI YA SAIKOLOJIA,MUNGU NA NDOA

⚠️⚠️ *Swali:1:kisaikolojia Kuna hasara ngani za kutokuwa kwenye mahusiano?*⚠️⚠️
 
ANAJIBU MCHAMBUZI WA MASUALA YA MAHUSIANO NA NDOA
*Ev Elisha Kazimoto(CEO-GFI) Mwana saikolojia*
Whatsapp 0755444078
Emaile;babaeve755@gmail.com
*HASARA ZA KISAIKOLOJIA KUTOKUWA KWENYE MAHUSIANO*
No.1.Hasara za kutokuwa kwenye mahusiano ni chache kuliko faida za kutokuwa kwenye mahusiano kisaikolojoa......
*Lakini kabla ya mambo yote niweke Angalizo la kisaikolojia*

✍️Hatuiingii kwa mahusiano kwa kutaka kwetu, bali NATURE & TIME force us to join relationship. ( _Yaani si kwamba tunajiamulia kwa kutaka kwetu kwamba niingie au niache niwe au nisiwe na mahusiano bali ASILI NA MUDA divyo vinatuingiza kwenye mahusiano_)
👉NATURE(ASILI....) Ubongo wa mwanadamu umegawanyika katika makundi 4( MAPENZI, IMANI-DINI, SIASA NA PESA) mapenzi yanabeba robo tatu ya asilimia zote za ubongo (75%) hapa ndo utajua uamui wewe ila NATURE ya maumbile yako ndo inakulazimisha kujoin relationship.
✍️Kama watu wangekuwa wanajiamulia kuingia kwenye mahusiano au kutoingia basi *Tusinge shuhudia watu kujiua kisa mapenzi au Kuumizwa mara ya kwanza, ya pili, ya tatu nk* ila tunavishuhudia hivyo vyote kwakuwa SI WATU WANAJIAMULIA kuingia katika mahusiano bali NATURE.
✍️TIME(muda) ni msukumo mkubwa kwa watu kuingia katika mahusiano, kuna muda ambao mtu HAONI UMUHIMU WALA HAJA YA MAHUSIANO, na kuna muda ambao mtu anaona Haja na Ulazima wa mahusiano. Kwahiyo hivi vitu viwili ( *Nature and Time haviruhusu mtu ajiamulie kuingia kwenye mahusiano au kutoingia*)KISAIKOLOJIA
✍️Tukirudi Kiroho ndo tutasema Mungu ndiye anayetuongoza na kutupa kibali au kutunyima kibali cha kuingia kwenye mahusiano.
*SASA TWENDE KWA SWALI*
👉Hasara za kutoingia kwenye mahusiano.
1️⃣Akili yako aikui inadumaa.
👉Mahusiano yanakuchemsha akili na kukukomaza,unajua namna ya kufanya maamuzi ya jumla na si ya kwako mwenyewe.
2️⃣Una kosa darasa bora la maisha na la hisia.
👉Mtu asiye kwenye mahusiano anauwezo mdogo wa kufikiri juu yake binafsi na juu ya hisia za watu.
👉Mahusiano yanakufanya *Akili yako ifikili kwaajili yako na kwaajili ya mpenzi wako*
👉Mtu anayefikiri kwaajili yake na mtu mwingine ni Imara zaidi kimaisha na kihisia kuliko anayejifikiria binafsi.
3️⃣Unakosa kipimo sahihi cha uwezo wako wa kihisia na kimaisha.
👉Kama hauna mahusiano, uwezi jua *nguvu yako ya kuvumilia, nguvu yako yakusamehe, kiwango chako cha kukosea watu, kiwango chako cha kuomba msamaha kama kinatosha* wewe ni Kipofu anayejiona na asiye ona vitu vingine.
4️⃣Kama hauna mahusiano uwezi jijua kiusahihi wewe ni mtu wa aina gani. *Unaweza kuwa na Mis interpretation* unavyojidhania sivyo ulivyo.
5️⃣Kama hauna mahusiano, unakosa nafasi ya kusahihisha makosa na mapungufu yako.
👉Mahusiano ni kioo cha mtu cha kujipima wema wake na ubaya wake, na kuurekebisha mapema kabla mabaya hayajamrekebisha na kumfungia milango ya kuonekana mtu muhimu.
*_Niseme naweza ishia hapa kwa leo, siku nyingine nitajibu faida za kuwa kwenye mahusiano, ila angalizo, Usilazimishe kuingia kwenye mahusiano kwa maana mahusiano yenyewe uwa ndo yanamwingiza mtu kwenye mfumo, tulia mpaka nature na time vikuvutea uingaie ndani ya mahusiano_*

Ulikuwa na mimi mchambuzi wa Masuala ya mahusiano, Mwana saikolojia *Ev Elisha Kazimoto(CEO-GFI)*
Phone; 0755444078
Emaile; banaeve755@gmail.com

HASARA ZA KISAIKOLOJIA KUTOKUWA KWENYE MAHUSIANO