❣❣ *SAIKOLOJIA YA ZINAA KATIKA MAHUSIANO NA NDOA*❣❣
( _NA NUSURISHA WALIOSALIA_)
Mchambuzi: *Psychologist & Counselor Ev Elisha Kazimoto*
WhatsApp: 0755444078
_Hello! Shalom watu wote,vijana kwa wadada,wababa kwa wanamama,leo nina message maalumu inayoitwa, *Nusurisha Waliosalia* Tangu mwanzo kila katika changamoto kali ya maeneo au uhalibifu, Mungu alijisazia watu WASIOPIGA GOTI kwa uovu.(Kwa Gharika, Nuhu na familia yake,Sodoma Luthu,kipindi cha Nabii Eliya,walibaki manabii wasiopiga goti kwa miungu baali nk. Hata sasa katika uovu mwingi wa zinaa katika mahusiano,michepuko ya ndoa kuwa mingi,na kuumiza wengi,wapo ambao bado hawapigi goti katika roho hizo. Pia kama upo uliyepiga goti sasa nakuinua usipige goti tena._
✍Kwanza niweke sawa vitu hivi viwili( *Saikolojia na Ukiroho*)unielewe,uone usharabiano naupingano unapoishi umpendeze Mungu na wanadamu na uwe salama.( *Saikolojia inahusika na Akili(Hisia )na mwili, ila Ukiroho unahusika na roho yako na Imani na vitu vilivvyo katika ulimwengu wa roho*) Sasa ukiulizwa kwa nini watu (walio wa Mungu *wanaanguka katika Zinaa?*) jibu litakuja *Saikolojia ya Zinaa Imekuwa na nguvu juu Roho zao* na kwa nini imekuwa na nguvu juu ya roho zao wakati wana Mungu ndani yao, ?majibu ni kwamba, Tendo la kukosa Maarifa kidogo katika eneo moja ndo mlango wa adui kupitia na kuingilia kuharibu maeneo yote,( *Rejea kwa Hawa na Nyoka bustanini mwa Edeni, Mwanzo 3*),Pili udhaifu wa kiroho wowote ndiyo mlango wa kuharibiwa.
✍Miongoni mwa vitu(maarifa ya kuwa nayo na kukulinda unapopambana na Saikolojia ya Zinaa)ni *_Mwili hata siku moja HAUOKOKI na HAUVIJUI, haujui business za kwenda mbinguni,hauji mambo ya utakatifu,haujui una status gani katika jamii,haujui kuna magonjwa hatari wala kifo, unacho jua ni kitu kimoja TIMIZA SHAHUKU YANGU nitakayo ni Enjoy_* Wanao fanya zinaa wanatafuta enjoyment,kuupa mwili unacho kitaka baada ya tafsiri ya Akili ni nini kinapatikana katika mwili ulicho taka( burudani,raha,mtoto,uchumba utakuwa imara,ndoa itapatikana,pesa itapatikana,ofisi,kazi nitapata,nitajua huyu ni mzuri kiasi gani,huyu anakuwa anatofauti gani na yule nk)( *Huo ndo mwili wako, na ndo Saikolojia inafanya kazi*) Sasa upande wa Roho yako inatamani kumpendeza Mungu,kuishi na Mungu ila ipo kwa mwenyeji wa mazingira(mwili)anakuwa na nguvu sana,kama Roho haijashibishwa kweli na Maarifa ya Kimungu.👇👇👇👇
*_Wagalatia 5 : 17 - Kwa sababu mwili hutamani ukishindana na Roho, na Roho kushindana na mwili; kwa maana hizi zimepingana, hata hamwezi kufanya mnayotaka._*
✍Mwili unalazimishwa kufuata kile roho inataka,lakini hautaki,na ili uulazimishe ukubali ya roho lazima *_Uwe na Maarifaya kutosha kuhusu Saikolojia ya Zinaa na uwe nauwezo mzuri wa Maarifa ya Kiroho usiwe mtegevu kiroho_* hapo chini tutachambua MAZINGIRA YA ZINAA ZOTE, kirafiki,kiuchumba na katika ndoa.
🌑 *Saikolojia ya Mazingira ya Zinaa Zote*🌑
Kisaikolojia zinaa(sex) ni Matokeo ya mambo 2, moja Upendo timilifu(love giving/sex ni sadaka ya mwili yaani hukumzuilia atakaye mwili wako )( Rejea kwa Ibrahim kumtoa Isaka Malaika anasemaje wakati isaka anataka kuchinjwa, (Maximum love)) Pili ni Matokeo ya *Kuondolewa/Kusogezwa Mipaka yote mikuu 4,kati ya mwanadamu na mwanadamu*( jinsia 2 tofauti )inabidi ukumbuke kwa nini Biblia ilisema Usisogeze Mpaka wa jirani yako,kuuondoa fuatana nami unusurike.
*Ayubu 24 : 2 - Wako waziondoao alama za mipaka; Huyachukua makundi kwa jeuri na kuyalisha.*
Kwasababu hiyo,angalia mambo haya kwa umakini.
❣ *Mipaka mikuu 4 ikianza kusogezwa,au kuondolewa zinaa hutaikwepa,kumbuka hapa naongelea zinaa ya kwenye mahusiano siyo ya kukurupushwa na wahuni wakabaka au kubakwa.*
1⃣ Mpaka wa Kuogopana na kuheshimiana
2⃣Mpaka wa Uhuru wa kushika nakushikwa kwa uhuru.(Sehemu Binafsi)
3⃣Mpaka wa Usiri wa sehemu Binafsi kuonekana.
4⃣ Mpaka wa Uhuru wa Mwili(Sharing)👉🏾 Hapando sex(intercourse )inaanza.
❣Mipaka hiyo usogezwa kwa awamu siyo mara moja,ndo maana inabidi uwe makini,kisaikolojia na kiroho kugundua mpo mpaka wa ngapi kwenye mahusiano yenu.
❣ *Kuwa makini na vitu hivi vya Kisaikolojia vinavyo sogeza mipaka*, Mazungumzo yanayo husu SEX,yanaleta kutamanisha kutoka katika nadharia ya mazungumzo kuingia katika uhalisia wa tendo.,pili Kubishania huimara au udhaifu kihisia,ukianza kuona mmoja anasema mimi hisia zangu ziko mbali,huyu ziko karibu,huyu si rahisi kunishawishi niingie katika sex,huyu ninauwezo mkubwa wakukufanya uzame,( *Jua mpaka mmoja wapo utasogezwa*), ukisikia lugha za wanaume wote mpo dhaifu,lugha ya nahisi wewe utakuwa hatari.....(kaa macho) ukiona zawadi zinazidi,na ofa nyingi wakati huo unachomekewa lugha ya kuondoa mpaka mmoja wapo(kaa sawa).
❣Kila mtu ajue Saikolojia yake na ya mwingine katika Saikolojia ya zinaa.
*Mwanamke/Mdada akiwa katika uhitaji wa contact(kutulizwa hisia) _Huelezea alivyo imara kihisia,alivyo na uwezo wa kuku control kijana/baba huwezi fanya lolote mpaka yeye aamue_ Lugha hii huwatibua kihisia vijana na mwanaume wengi kutaka kuonyesha yeye ni nani,anauwezo kiasi gani kumtoa mchezoni(Hapo mpaka hauchelewi kusogea)*
❣Saikolojia ya 2,wadada/wamama wana akili na wako imara mkiwa mnaongea face to face in distance, *_Ila kwa kadri unavyo wasogelea katika kuongea nao wanapoteza akili na uimara_* usalama wake akae distance.
❣Vijana/wababa wanaakili kidogo wakiwa mbali (out of face) *_kwakadiri wanavyo kuwa face to face akili uongezeka,wanavyokuwa karibu na Mdada akili inapanda zaidi, sex ikianza wanapoteza akili ghafla._*
✍Unahitaji kushinda Saikolojia ya Zinaa,mpende Mungu sana,kuwa busy na mambo ya Mungu pili Pata maarifa ya Kisaikolojia kuhusu hisia zako, mahusiano yako,ndoa yako nk, *_Labda ni hitimishe hivi,kuwasaidia wana wa Mungu ambao hampendi kuanguka katika zinaa ila unavutwa kuingia humo, Kila mpaka unao usogeza una athari kiroho,kuna vitu vina momonyoka vinakufanya upungue kiroho,mimomonyoko yote hiyo ikiendelea unazidi kupoteza uwepo wa Mungu na Amani ya moyo,mpaka wa mwisho ukiondolewa ndo unaingia katika Anguko la Topeni(Zinaa)gharama yake ni nzito kutengeneza,kuliko kuziba mimononyoko ya mipaka hiyo. Leo fanya maamuzi ya kurudisha mipaka hiyo na izibe mimomonyoko hiyo. Kama upo tayari kwenye shimo,unahitaji kuvutwa na watumishi wa Mungu wakurudishe kulee kwenye mipaka._*
Ulikuwa nami mchambuzi wa masuala ya mahusiano na ndoa Kisaikolojia na Kiroho. *Psychologist & Counselor Ev Elisha Kazimoto*
WhatsApp 0755444078
Facebook Elisha Kazimoto
Instagram Elisha kazimoto
Twitter ev_elisha(elisha kazimoto)
Blog MaterialAdimuuniversity2017@blogspot
Tuesday, 16 January 2018
SAIKOLOJIA YA ZINAA

*Mwanamke/Mdada akiwa katika uhitaji wa contact(kutulizwa hisia) _Huelezea alivyo imara kihisia,alivyo na uwezo wa kuku control kijana/baba huwezi fanya lolote mpaka yeye aamue_ Lugha hii huwatibua kihisia vijana mwanaume wengi kutaka kuonyesha yeye ni nani,anauwezo kiasi gani kumtoa mchezoni(Hapo mpaja hauchelewi kusogea)*