Mwl. Naomba Ukija uje na Majibu ya Ipi njia nzuri ambayo haiumizi moyo wakt mnataka ku-break up mahusiano yenu... kwa njia ya SIMU / SMS, Au Mnakutana sehemu Mna-break kwa kuOnana.
Ipi? njia nzuri hapo😁
maana wengine utashaanga tu! mmeachana😂😂
*Anajibu Msaikolojia Ev Elisha Kazimoto*
*NJIA YA KUVUNJA MAHUSIANO SIYO COMMON NI CONDITIONAL*
👉Unapo amua kuvunja mahusiano inategemea una mtu wa character.
👆Kuna watu una kaa naye mvunje mahusiano Reaction yake italeta hasara(Kubakwa,Kukupiga,Kukuaibisha au palepale kufanya tukio baya) huyo usikae naye tumia njia zingine.
👉Sababu ya kuvunja mahusiano ni kwasababu ya tabia, mmeshindwa kuelewana,au mnapendana ila mapenzi ya Mungu yamegoma
👆Angalia ipi njia ipi haitaleta athari kati yenu mbaya.
👉👆Mahusiano katika nyanja hizo wapo ambao mtakaa eneo la wazi site huru mtaambiana kwakweli hatuna budi kuend up mahusiano mta break na kuachana(kama wote saikolojia zenu ziko vizuri)
👉👆Wengine tumia simu mpe taarifa ya kusitisha mahusiano na sababu zako kwa upendo kabisa na sitisha.
👉👆Mwingine mpe ishara kimya kimya unamkatia mizizi chini kwa chini mti ukisha kauka ndoa unamalizia na taarifa ya nilisha futa mahusiano nawe kwa sababu hii na hii.
*Kuwa makini unapovunja mahusiano isiwe ni kwa sababu za tamaa zako, na kukurupuka usije ukaumia wewe mwenyewe ikakugarimu*
By Ev Elisha Kazimoto(Psychologist)0755444078
No comments:
Post a Comment