*_Sehemu Ya 4⃣ ya Somo la Taaluma ya Tendo la Ndoa_*
*_By Ev. Elisha Kazimoto_*
*0755444078*
_Ndoa ni tamu, tendo la ndoa ni muda wa kutuliza akili iliyo changanywa na mbo meengi ya dunia, tendo la ndoa ni muda wa kuunganisha nafsi na kuibua furaha ya upendo wenu katika ndoa, Tendo la Ndoa ni muda wa shukrani na pongezi za kiwanho cha juu kwa wana ndoa katika mema yote mnayotendeana, tendo la ndoa ni kipindi cha kuthibitisha msamaha wa dhati kwa wana ndoa kwa changamoto zilizo jitokeza kati yenu mkahitirafiana, kwa hiyo lifanye tendo la ndoa kwa ubora, uzuri, shahuku na furaha kuu, ili ni tendo tamu sana kama ndoa yako haina migogoro_
Ambatana nami katika uchambuzi huu na Mtaalamu wa Mahusiano na Ndoa( *Ev. Elisha Kazimoto(Baba Eve))*
✍ *_Kwenye sehemu hii ya nne, tunaingia kitandani kabisaa, muda wa kazi yenyewe inayo lipuaga mioyo ya watu kila ikitajwa, kuonwa, kuwazwa_* 🏡 *MANDHARI YA NDANI KWAAJILI YA TENDO LA NDOA* 🏡
💺Tendo la ndoa siyo la kitandani tu, mtakichoka, yapo mandhari mengi ya kushughulika na mka enjoy zaidi
💺Kama mna nyumba ya kwenu, vitu kama sofa la double au watu 3,liwepo master bedroom, Office chair, viwepo vitawasaidia kubadiri mandhari ya kufanyia tendo la ndoa
💺Wekeni taa ya mwanga wa rangi, hafifu, ndo mtacheza game vizuri kwa raha, ukitazama reaction ya mwenzako katika macho na molii, midadi ikupande vizuri
💺Inapendeza tena sana, Mwana mama kama mpo ndani (hasa chumba) kuvaa nguo za pekee kama night dress (mini, transparent ya ukweli, nyepesi, inayo onyesha mpaka ndani)
💺Mwanaume vaa pensi nyepesi, siyo unavaa pensi la jeans 🙅🏻😡, iwe ni siku ya game au not wana ndoa mlale na nguo laini, nyepesi
💺Inapendeza tena sana, mnapoanza kuandaana muwe mmevaa hizo nguo nyepesi, mnavyo zidi kuchemka ki hisia, umvue mwenzako nguo, siyo anajivua, na unamvua kwa dizine ya kimahaba 😘
*_MIKAO/STYLES ZA TENDO LA NDOA_*
🚁Ukitaka kulifurahie tendo la ndoa, mlifanye kwa mikao ya aina mbali mbali, hamtachoka, hutamboa mwenzako (Usikalili baba juu mama juu, lisaa lizima 😡😡🙆🏻🙆🏻aliyeko chini unahisi anafurahi au anaomba umalizie haraka)
🚁Anza na mkao ambao ni mwepesi sana utakao ruhusu kasi za mwanzo kwenda nao (mwanzoni watu wanaanza kwa kasi kubwa wakilitafuta bao la kwanza lililo karibu sana)
🚁Iko mikao mingi ila ni vigumu kuielezea bila drawing(na humu haturusu picha yoyote wala video yoyote) nje na na picha ya utambulisho. (Ila itaelezewa ile inayoelezeka zingine kabuni mwenyewe)
🚁Ya kwanza huta ikwepa Missionary style (ni common kwa kila mtu,) Baba juu mama chini, simple but very sweet kwa kila mmoja
🚁Missionary imegawanyika katika makundi kama 3 wakati mnaendelea mnaweza badili badili katika makundi yake
🚁Kupakatana, baba kumpakata mama, hapo ni vizuri muwe kwa Office chair, lakini hata kitandani si mbaya
🚁Kupiga magot mkiwa mmeelekeana
🚁Kusimama,
🚁mama Kusimama na mguu mmoja akakanyaga kitanda akiwa ameshikiria ukuta
🚁Kusimama mama akapandisha mguu kwa kiuno cha baba
🚁 Mama piga magoti inama Hakikisha kichwa kina gusa godoro kiuno ndo kiinuke juu, baba tokea kwa nyuma
🚁Mama piga magoti simamaia mikono mfano wa mnyama wa miguu minne, baba tokea kwa nyuma
🚁baba lala chali mama kaa ki dizine flan juu kama ume chuchumaa chooni, ukalie mtambo halafu anza kama una kaa na kuwa inuka kidogo kidogo uhakikishe kwenye kaa na inuka yako mtambo hauchomoki
✍Baba lala chali, mama piga magoti ukitazama upande alipo nyooshea miguu mmeo, ukalie mtambo, anza kunesa nesa juu ya mtambo Hakikisha hauchomoki
🚁Baba lala chali mama kuwa juu face to face, hapo mama wewe ndo dereva, chezea unavyo taka maana wewe ndo controller unataka mtambo ukusugue pande zipi
🚁Mama lala chali chini ya kiuno chako weka mto ili uinuke juu baba apige magoti mama muwekee baba miguu mabegani
🚁Mama lala kifudi fudi chini ya tumbo kwa chini weka mito hata mwili au mmoja ili kiuno kiinuke juu, baba piga magoti anza kazi
🚁Lala wote upande mkielekeana uso
🚁lala wote mkielekeana uso mmoja apandishe mguu juu ya mwenzake hasa mama
🚁lala upande kuangalia upande mmoja ila baba ndo awe nyuma ya mama
Ziko mikao mingi ila ni vigumu kuielezea out of drawing. Ila hiyo itakutosha na wewe buni ya kwako, tendo la ndoa ni ubunifu
💏 *_MAMA HAKIKISHA HAYA MAMBO UNAYATIMIZA_* 💏
💋Miguno na ukelele wa mahaba unasikika utamfanya mmeo asichoke haraka
💋Ukiwa chini Hakikisha unakata kiuno, unazungusha kiuno taratiibu, huku ukimpapasa papasa mmeo mwili wote
💋Hakikisha akipiga bao akichomoa mtambo uchezee mtambo kwa mbewembwe zote, wanaume Wanapenda sana na wanajisikia rahaaaaaa ukishika shika mashine zao, ukizi massage
💋Chezea kifua cha mmeo kiwe na Garden au la chezea
💋Chezea vizuri kwa umakini vitunguu (korodani) za mmeo ndo moyo upo hapo usizi bane utamuua, zikune kune
✍Jambo la msingi katika mchezo huo usio na referee, *_Msiwe mabubu_* zungumzeni tena sautibza kimahaba siyo sauti za kiaskari👮🏻, halafu mwambie mwenzako, unajisikiaje mnapo endelea na mchezo, aguse wapi, apigeje *Rhythm* za in and out, ushikwe wapi, afanye nini ukisikie raha, usikae kimya huo ni uwanja wako wa kufurahia mchezo sema.
_Mpaka hapo mtakuwa mmepeana raha na hakuna atakaye ona mwenzake mzigo, hutatamani kuchepuka wala hutoliona tendo la ndoa kero kwako._
*_Mwisho wa Uchambuzi_*
_By Ev. Elisha Kazimoto_
*0755444078*
Thursday, 1 December 2016
TAALUMA YA TENDO LA NDOA(PART IV)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment