SEHEMU YA 3. YA SOMO LA TAALUMA YA TENDO LA NDOA
By Ev. Elisha Kazimoto
0755444078
_Shalom, shalom, karibu tuendelee na sehemu ya tatu, huku tukiingoja sehemu ya nne ya somo, lengo na makusudi, kukomesha vilio, michepuko na majuto katika ndoa, tumia taaluma ili ikupe Raha mwana ndoa, sasa fuatana nami mchambuzi wa masuala ya Mahusiano, *Ev. Elisha Kazimoto*_
💑 *UNAHITAJI KUJUA MAADILI YA TENDO LA NDOA* 💑
💋Tendo la ndoa siyo la kuonea Aibu, hata mfanye gizani mmezima taa,
💋Tendo la ndoa ni takatifu na linakubalika mbele za Mungu kwa wana ndoa, nivizuri kujikabidhi kwa Bwana kabla ya Kuanza, mnaweza kufanya muda wowote hata kama asubuhi mnaenda ibadani na unaratiba ya Kuhudumu madhabahuni
💋Tendo la ndoa linaeleza hisia, msilifanye mkiwa kimya kimya, mabubu, sema unajisikiaje mwenzako anapo badili mapigo
💋Muda wa Tendo la ndoa, siyo muda wa kueleza kesi, kudai zawadi, au kumlalamikia mwenzako, ni muda wa kushiriki hisia za upendo wa ndani
💋Tendo la ndoa siyo la kukariri mfumo, lina hitaji Ubunifu kila siku, uje na mambo mapya mwenzako asikuchoke
💋Tendo la ndoa linahitaji kusikilizana na kuthamini hisia za mwenzako
Tendo la ndoa halina kazi ya kupata watoto tu na kutimiza tamaa za mwili, linaenda ndani zaidi.
👑 *KAZI ZA TENDO LA NDOA* 👑
🎁Ni zawadi ya pongezi kati yenu kwa mambo mema mlo tendeana, ni shukrani kwa mwenzako, ni kumwonyesha mwenzako unatambua umuhi wake kwako
🎁Ni kuwaunganisha kimwili, kihisia, na kimoyo, linaibua furaha, upendo na faraja kati yenu
🎁Ni chimbuko la uzao, watoto
🎁Ni la Refreshment, burudani, enjoyment and resting.
🎁Kukamilisha, kuridhisha hisia na hamu ya mwili
🎎👑Usipo jua kazi za tendo la ndoa hutalifanya kwa Ubora, na ni muhimu kujua, Leo tuna game la kitandani, je, ni kwaajili ya nini kwa Mujibu wa points hapo juu 👆🏻👆🏻❓hapo ndo mtaenjoy sex.
❤ *ZIJUE SEHEMU 11 ZA MWILI WA MWANAMKE ZINAZO MLETEA HISIA KALI NA KUNOGESHA MCHEZO*❤
🔱NYWELE: ( Mwanamke nywele ni Hazina na utajiri mkubwa wa tendo la ndoa) Usikate nywele, fuga sana. Mwanaume chezea nywele taratiibu huku ukimsifia mkeo kwa uzuri na raha unayoipata unanapo vuta vuta nywele zake.
🌹ukichezea nywele zake vzr utaona anapata shida sana anatekwa na hisia kali na kulembua macho.
🔱ULIMI NA LIPS(two in one) Romance huwa inamuacha hoi Mwanamke, lakin mnyonye kwa utaalamu , taratiibu, utaona anavyo pagawa kwa hisia kali.
🔱MASIKIO:mambo 2waweza ya fanya Kwa masikio, moja kumnong'oneza sikioni kwa sauti ya mahaba, ukimwambia unavyojisikia kihisia, alivyo mzuri, anavyo kupa raha, ukimuelekeza akushike wapi. Pili, kutumia mcha ya ulimi kupitisha pembezoni mwa sikioni lake, ndo maana tunasema tendo la ndoa linahitaji usafi wa hali ya juu
🔱SHINGO:shingo ipapase papase, igusishe kidevu chako chenye ndevu fupii zilizo katwa, zitamchoma chama na kuibua hisia kali, lamba lamba kwa utaalamu shingo, utasikia majibu
🔱KIFUA NA MAZIWA;hili ni eneo la pili kwa ukubwa wa kutibua hisia, Mwanamke akianza kupata hisia kali za ku sex, kufua na maziwa huwa vinalemewa, hatamani mkono wa Mwanaume utoke kifuani pake, ubinye binye maziwa.
🌹Mambo 2waweza ya fanya Kwa kifua na maziwa, Moja, papasa papasa kifua chake kwa utaalamu, binya binya maziwa na kuzifikicha fikicha taratiibu chuchu zake, Pili, Nyonya maziwa yake kama mkeo hajazaa na maziwa kushuka. Utasikia anavyo piga ukelele na kulalamika kimahaba.
🔱TUMBO & KITOVU.:Tumbo la Mwanamke na kitovu chake vina hisia nzuri kwake kama vita papaswa taratiibu na kwa ufundi, atajisikia raha na kuelekea kuiva tayari kwa kula.
🔱MAPAJA:haya ni maeneo ya tatu kwa kuchemsha hisia za Mwanamke, ya papase papase kwa utaalamu, pia unaweza tumia hata mtambo mkuu(Uume) kusugua sugua taratiibu kwa mapozi sehemu za ndani za mapaja, utaona mwenzako anavyo lalamika kwa kuzidiwa na hisia kali 🔱UKE(MASHAVU YAKE) LABIA:mpaka hapo unaelekea kumfanya mtu aabudu na kububujika machozi pasipo vyombo vya mziki, kwa mashavu ya uke, yabane na kuyaachia taratiibu, huku ukipisha kidole kimoja (ncha ya kidole) pembeni kuuzunguka uke, halafu una yabinya mashavu (usipo kuwa mjanja) anaweza kukurukia na kukuangusha maana umemtibua hisia vilivyo
🔱KINEMBE(CLITORIS) :Sasa Kisayansi hili ndo Eneo la Kwanza kwa Mwanamke katika kuzalisha hisia za kimapenzi, raha. Kisayansi sehemu hii haina kazi yeyote ktk mwili wa Mwanamke isipo kuwa Kuzalisha raha, kutibua hisia za kimapenzi tu.
🌹Sasa Mwanaume mtaalamu aliye jifunza na kupata material Adimu anawaza kumfanyia wonders mke wake mpaka akampigia saluti na kumuona ni bonge la Mwanaume anaye jua mchezo.
🌹Unacho takiwa kufanya kwa CLITORIS ni kuwa makini sana, maana ukikosea atachukia daima kila siku ukimshika anaogopa au anakukataza usikashike,
🌹Wengi wamewaumiza wanakichezea kinembe locally kwa fujo, wanawaumiza wenzi wao hatimaye wamewekewa mgomo na wake zao washike sehemu zote ila hapo wasishike
🌹Unachotakiwa kukifanya, kwanza Hakikisha umekata kucha zote, pili tumia ufundi na Sayansi kuki chezea, kivutevute, binya, binya taratiibu, kigonge gonge kwa kutumia Uume wako, kisugue kwa kutumia Uume wako, utamuona mwenzako anavyo badirika na kuzama ktk kilindi cha mahaba. Kelele za mahaba, vilio za mahaba haviwezi kukosa, kitakacho endelea kaa makini unaweza kushikwa mashine yako ghafla akajipachika ndani ili uendelee maana amezidiwa.
🔱🌹🌹Sasa ndugu wana ndoa, hiyo yote ilikuwa ni maandalizi ya Mwanaume kwa mke wake, ili wakianza sex na mke afike kileleni, ukifanya hayo hata kama si yote ila 50%yake utaona dalili hizi kwa mkeo, au mama utaona matokeo haya...
🌹Joto la mwili kupanda sana na kutetemeka kwa raha
🌹Macho yanabadirika na kuwa mekundu au machozi ya kimahaba
🌹Miguno isiyo zuilika ya kimahaba
🌹sehemu za ndani za uke zimelowa hasa
🌹Mwanamke kumg'ang'ania mme wake na kumbana kwake
🌹Kung'ang'ania Uume na kumuomba mme aanze kazi mara moja
🔱Hayo yakitokea ndo majibu ya Experiment ya Sayansi ulokuwa Unafanya, hapo mkianza lazima mke apige bado (akojoe) na wewe ndo utakuwa umewapita wanaume wengi wanaowafanya wake zao wakojoe (waachie bao) na kufika kileleni.
🍄 *UFUNDI WA TENDO LA NDOA* 🍄
🍌Baada ya maandalizi yote ya baba ya kumwandaa mke wake vya kutosha sehemu 11 umeshughulika nazo ili naye afaidi mchezo, ni saa ya Kuanza kazi (In and Out) movements
🍌Hapa Mwanamke zamu yako ya kunogesha mchezo inakuwa imewadia, usikae kitandani kama gogo au gunia jitume
🍌Vitu vya kukusaidia Mwana mama kutawala mchezo kitandani ni,;kukata kiuno ili kona zako zote za ndani za uke zisuguliwe ndo uta enjoy, Miguno na tuu kelele twa mahaba tuwepo ili mme asiboreke, kama upo site na mko style unayo weza kuchezea mwili wa mmeo ku mmassage fanya hiyo
🍌Mwanaume, jua hili wanawake wengi saikolojia yao, wanachukia kuchomoa chomoa mtambo (Uume) ndani, unawakatisha raha na enjoyment, usifanane anaye twanga, ila anaye kanda ngono
🍌Mwanamke, tambua Mwanaume akisha piga bao (kumwaga mbegu) huwa Uume unalegea na kuwa sinyaa, anaweza akaishia hapo wakat wee ndo kwanza unaingiza gia, Hakikisha una mchezea Uume, una mshika shika na kumwongelesha kimahaba ili hisia zipande tena, na mtambo usimame fasta urudi ndani kushughulika.
🍌Anzeni na mikao miepesi, na msikae style moja muda mrefu utamchosha mwenzako, badili kulingana mnavyozidi kuzama kimahaba
*_By Ev Elisha Kazimoto_*
*0755444078*
No comments:
Post a Comment