Wednesday, 30 November 2016

BREAK UP KWENYE MAHUSIANO ZINA UMIZA SANA

💔💔  *B̥ͦR̥ͦE̥ͦḀͦK̥ͦ U̥ͦP̥ͦ K̥ͦW̥ͦE̥ͦN̥ͦY̥ͦE̥ͦ M̥ͦḀͦH̥ͦU̥ͦS̥ͦI̥ͦḀͦN̥ͦO̥ͦ Z̥ͦI̥ͦN̥ͦḀͦU̥ͦM̥ͦI̥ͦZ̥ͦḀͦ I̥ͦL̥ͦḀͦ Z̥ͦI̥ͦN̥ͦḀͦ S̥ͦḀͦB̥ͦḀͦB̥ͦU̥ͦ*💔💔
    *_B̥ͦy̥ͦ E̥ͦv̥ͦ.E̥ͦl̥ͦi̥ͦs̥ͦh̥ͦḁͦ K̥ͦḁͦz̥ͦi̥ͦm̥ͦo̥ͦt̥ͦo̥ͦ_*
        *0755444078*
*_S̥ͦh̥ͦḁͦl̥ͦo̥ͦm̥ͦ v̥ͦi̥ͦj̥ͦḁͦn̥ͦḁͦ m̥ͦn̥ͦḁͦo̥ͦ m̥ͦp̥ͦe̥ͦn̥ͦd̥ͦḁͦ B̥ͦw̥ͦḁͦn̥ͦḁͦ,m̥ͦl̥ͦi̥ͦo̥ͦḁͦz̥ͦi̥ͦm̥ͦi̥ͦḁͦ k̥ͦw̥ͦe̥ͦn̥ͦd̥ͦḁͦ M̥ͦb̥ͦi̥ͦn̥ͦg̥ͦu̥ͦn̥ͦi̥ͦ n̥ͦḁͦ k̥ͦu̥ͦi̥ͦs̥ͦh̥ͦi̥ͦ ḁͦu̥ͦ k̥ͦu̥ͦp̥ͦḁͦt̥ͦḁͦ n̥ͦd̥ͦo̥ͦḁͦ y̥ͦḁͦ Ḁͦm̥ͦḁͦn̥ͦi̥ͦ n̥ͦḁͦ b̥ͦḁͦr̥ͦḁͦk̥ͦḁͦ, n̥ͦḁͦo̥ͦm̥ͦb̥ͦḁͦ u̥ͦf̥ͦu̥ͦḁͦt̥ͦḁͦn̥ͦe̥ͦ n̥ͦḁͦm̥ͦi̥ͦ m̥ͦc̥ͦh̥ͦḁͦm̥ͦb̥ͦu̥ͦz̥ͦi̥ͦ w̥ͦḁͦ m̥ͦḁͦs̥ͦu̥ͦḁͦl̥ͦḁͦ y̥ͦḁͦ m̥ͦḁͦh̥ͦu̥ͦs̥ͦi̥ͦḁͦn̥ͦo̥ͦ n̥ͦḁͦ n̥ͦd̥ͦo̥ͦḁͦ M̥ͦw̥ͦḁͦn̥ͦḁͦs̥ͦḁͦi̥ͦk̥ͦo̥ͦl̥ͦo̥ͦj̥ͦi̥ͦḁͦ E̥ͦv̥ͦ.E̥ͦl̥ͦi̥ͦs̥ͦh̥ͦḁͦ K̥ͦḁͦz̥ͦi̥ͦm̥ͦo̥ͦt̥ͦo̥ͦ ,u̥ͦp̥ͦḁͦt̥ͦe̥ͦ k̥ͦu̥ͦj̥ͦu̥ͦḁͦ k̥ͦw̥ͦḁͦn̥ͦi̥ͦn̥ͦi̥ͦ u̥ͦn̥ͦḁͦw̥ͦe̥ͦz̥ͦḁͦ ḁͦn̥ͦz̥ͦḁͦ s̥ͦḁͦf̥ͦḁͦr̥ͦi̥ͦ y̥ͦḁͦ m̥ͦḁͦh̥ͦu̥ͦs̥ͦi̥ͦḁͦn̥ͦo̥ͦ k̥ͦu̥ͦe̥ͦl̥ͦe̥ͦk̥ͦe̥ͦḁͦ n̥ͦd̥ͦo̥ͦḁͦ l̥ͦḁͦk̥ͦi̥ͦn̥ͦi̥ͦ s̥ͦḁͦf̥ͦḁͦr̥ͦi̥ͦ i̥ͦk̥ͦḁͦi̥ͦs̥ͦh̥ͦi̥ͦḁͦ n̥ͦj̥ͦi̥ͦḁͦn̥ͦi̥ͦ._*
✍� K͠u͠n͠a͠ m͠a͠d͠h͠a͠r͠a͠ m͠e͠n͠g͠i͠ k͠a͠b͠l͠a͠ n͠a͠ w͠a͠k͠a͠t͠i͠ w͠a͠ n͠d͠o͠a͠,y͠a͠t͠o͠k͠a͠n͠a͠y͠o͠ n͠a͠ b͠r͠e͠a͠k͠ u͠p͠,u͠n͠a͠w͠e͠z͠a͠ u͠k͠a͠f͠u͠r͠a͠h͠i͠a͠ b͠r͠e͠a͠k͠ u͠p͠,u͠k͠a͠m͠p͠a͠t͠a͠ m͠w͠i͠n͠g͠i͠n͠e͠ k͠u͠m͠b͠e͠ w͠e͠w͠e͠ n͠d͠o͠ U͠l͠i͠k͠u͠w͠a͠ s͠u͠m͠u͠,u͠k͠a͠s͠a͠b͠a͠b͠i͠s͠h͠a͠ b͠r͠e͠a͠k͠,h͠i͠y͠o͠ s͠u͠m͠u͠ i͠k͠i͠i͠n͠u͠k͠a͠ k͠w͠e͠n͠y͠e͠ n͠d͠o͠a͠,h͠i͠y͠o͠ n͠d͠o͠a͠ u͠t͠a͠i͠c͠h͠o͠k͠a͠ n͠d͠a͠m͠i͠ y͠a͠ m͠w͠a͠k͠a͠ m͠m͠o͠j͠a͠, a͠u͠  *_I̺͆m̺͆e̺͆t̺͆o̺͆k̺͆e̺͆a̺͆ b̺͆r̺͆e̺͆a̺͆k̺͆ u̺͆p̺͆,u̺͆m̺͆e̺͆l̺͆a̺͆z̺͆i̺͆m̺͆i̺͆s̺͆h̺͆a̺͆ m̺͆r̺͆u̺͆d̺͆i̺͆a̺͆n̺͆e̺͆ K̺͆w̺͆a̺͆  G̺͆h̺͆a̺͆r̺͆a̺͆m̺͆a̺͆ z̺͆o̺͆t̺͆e̺͆,k̺͆u̺͆m̺͆b̺͆e̺͆ m̺͆w̺͆e̺͆n̺͆z̺͆a̺͆k̺͆o̺͆ n̺͆i̺͆ m̺͆w̺͆i̺͆b̺͆a̺͆,s̺͆i̺͆y̺͆o̺͆ s̺͆i̺͆z̺͆e̺͆ y̺͆a̺͆k̺͆o̺͆,u̺͆b̺͆a̺͆v̺͆u̺͆ w̺͆a̺͆k̺͆o̺͆,,s̺͆u̺͆m̺͆u̺͆ h̺͆i̺͆y̺͆o̺͆ i̺͆k̺͆i̺͆i̺͆n̺͆u̺͆k̺͆a̺͆ k̺͆w̺͆e̺͆n̺͆y̺͆e̺͆ n̺͆d̺͆o̺͆a̺͆ u̺͆t̺͆a̺͆l̺͆i̺͆a̺͆ m̺͆a̺͆p̺͆e̺͆m̺͆a̺͆_*
✍Lakini unaweza kuwa mtu wa kuingia katika mahusiano bila *Maarifa ya Kuendesha Mahusiano Hayo* ikapelekea break up nyingi zikakuletea magonjwa ya kisaikolojoa kama, *_Stress, Ulcers, Fear, Inferiority complex,_* ili kishinda hayo fuatana nami katika uchambuzi huu.
👉🏻Karibu katika mada nzuri na muhimu kwa vijana ambao wanajiandaa au wanakaribia kuingia katika ndoa, itakufungua sana na kukupa mwanga mpya katika maisha yako
👉🏻Lakini mchanganuo huu, utakuwa TIBA, kwa walio na wanao pita katika changamoto hii ya Break up.
👉🏻Kuna vitu vya msingi vya kuvijua, unapo taka ku trace sababu ya kuwa na break up katika mahusiano, ukizijua, hutapata tena Psychological disturbances, uta clear mistake utasonga mbele.
👉🏻Swali letu kubwa ni, "Why Break up", nahisi wewe unayesoma, umewahi kukutana na changamoto hii, na unatamani kupata majibu. Welcome...
🌳Chimbuko, mwanzo wa Relationship(Point of connection between you and your Partner)
👉🏻👆🏻Nini kiliwaunganisha kuanza mahusiano? Ni pesa? Ni ngono? Ni level of education, marafiki, family forces, sura, katika haya yote no static factors all are Dynamic factors. Ukiona katika hizi factors zilichangia kuanza kwa relationship, jua from those factors the history will repeat itself Dynamism princeple will take place and break up will come soon, au ndo maana ilitokea.
🌳👉🏻  *_Which Kingdom you belong(Evil Spirits)_*
👉🏻Watu wengi wamekuwa wakushangaa, why me?? Kila nikianza relationship Hafiki tamati ya ndoa, wengine mpaja break up inatokea 1 week before engagement😔😔
👉🏻👆🏻Siri ni kwamba all evil spirits are agaist marriage by nature (Sababu za y ziwe kinyume na Marriage ni somo kubwa lingine, tutalichambua siku nyingine)
👉🏻Kuna watu, wanamilikiwa na evil spirits, pasipo kujua na zime end up relationship zao, utajuaje unamilikiwa na evil spirits, ili ujue ndo zili break au zita break relationship yako?
👉🏻👹Usiku unaona una sex na mtu usingizini
👉🏻👹Unaota upo baharini some time unaogelea
👉🏻👹Unaota upo makaburini
👉🏻👹Unaota unakula vyakula usingizini, especially nyama
👉🏻👹Unaota unafukuzwa na wanyama wakali kama nyoka, simba nk
👉🏻👹Unaota unanyonyesha watoto
👉🏻👹Unaota umekufa, upo kwenye jeneza
👉👹Hizo ni baadhi ya ndoto wanazo ziota watu wanao milikiwa na evil spirits, and at the end will end up with break up.
🌳👉🏻  *_Who is a Director, /Master of your  Relationship,_* Break up nyingi nimatokeo ya kusimika relationship katika Environmental Issues na si Mungu.
👉🏻Unavyo kumbuka, mpaka mnapitisha mahusiano haya yaanze, yadumu, yatufanye tuwe mke na mme, mlithibitisha kabisa mbele za Mungu mkapata kibali na Amani ya Kristo ilitawala moyoni? Au ulilazimisha Amani ya Kristo ifuate hisia, Msukumo, mwono wako wewe?
👉🏻Wengine wameanza kwa kuunganishwa na dhambi Zinaa, halafu ndo wamejihakikishia kukaa ktk relationship, hiyo lazima ivunjike, au ndo maana ili vunjika.
👉🏻Wengine, wameanzisha relationship kwa conditions, hali ya kiuchumi ikikukalia vizuri tutaoana, hali ilipo kuwa vizri, vision na hisia zika change... Break up tayari, Au muda umepita hali haijatengamaa... Break up tayari.
👉🏻Wengine walianza bila ya kumshirikisha Mungu, na kwakuwa waliona kila siku penzi linakua na kuchanua, wakahisi lazima waoane, wakajisahau kumuhusisha Mungu, na shida ilipo tokea ndo wakakumbuka kuwa Mungu yupo, wakarudi kwa Mungu... Hiyo lazima iwe Break up, au ndo maana ilitokea Break up.
👉🏻👆🏻Siku zote Mungu hashuguliki na mambo anbayo hakuanza nayo(You must start afresh with God.... Proverb 3:5-6, 16:3-4)Hiyo Break up tayari..
🌳👉🏻  *_Your Nature(Personality, Individual Behaviors)_*
👉🏻Break up zingine, ni matokeo intolerant able behavior ulizo nazo.
👉🏻Mwanzoni mwa mahusiano, watu wengi uficha uhalisia wao, na uishi pretending life style, na wengine huwa na misimamo ya hajabu, wengi wa partners, huvumilia wakitafuta namna gani akushape, akikosa namna na haubadiriki, anaamua kuachia Ngazi... Break up inatokea au ndo maana ilitokea
👉🏻Kuna kila mtu katika kumpata mwenzi ana some wishes ktk mindset yake anatarajia kumuona partner wake awe namna flan, akishindwa kuona hata kama alikupenda, bila ugomvi kutokea ata break relationship.
👉🏻Kuna tabia unaziendekeza, na haujajifunza saikolojia ya mahusiano, uta fall ktk break up mpaka unaingia 30s, tabia kama
💨Uchafu, 💨Hasira, 💨Kuongea ovyo, 💨Ubabe, 💨Kujiona💨kuwa buzy bila  sababu, 💨Kutojali, 💨Ubaili, 💨Kutoridhika, 💨Kuiga wengine nk.
🌳👉🏻  *_God's Purpose for your Future._*
👉🏻Sikila break up, ni bahati mbaya au pepo, zingine ni makusudi ya Mungu kwa kuwa Mungu anajua mwisho wako kabla ya mwanzo.
👉🏻Break up hii inawahusu watumishi wa Mungu, watu wenye great vision connected to the kingdom of God, mara nyingi hupata break up kwa sabu zifuatazo...
☔Wanapewa experience ya ku deal au to handle difficult situation ktk maisha yao.
☔Wanapewa experience ya kuwasaidia watu walo nyuma yao because they wish to be great people, they suppose to have Real Reference for their clients
☔Mungu anawapitisha ktk feki relationship to minimize, or to clear errors that could be possibly erupt in Actual marriage
☔Mungu anairuhusu break up, kumnusulisha na great tragedy ambayo ingemsumbua pindi angeoana na huyo
☔Mungu anaruhusu break up kulinda maono yako because some one you are attached cannot hold them.
🌳🌳Kwa hiyo kila Break up ina mzizi na Inasababu🌳🌳
☔☔Mwisho wa Sehemu ya kwanza ya uchambuzi huu, karibu katika Sehemu ya II, Nini kifanyike baada ya Break up.
👉🏻  *_Uko na mimi Mchambuzi wa Masuala ya Mahusianois  na Ndoa, Ev. Elisha Kazimoto, Psychologist  & Coinselor)Whatsapp not O755444078_*
🌲🌲  *_Nini Kifanyike baada ya kukumbana na changamoto ya kisaikolojia ya Break up?_* 🌲🌲👇🏻👇🏻👇🏻
🌲👉🏻Mara nyingi, ikitokea break up kwa mtu, wengi hupata Psychological problems kama Stress, Burning out, Distress, Ulcers, na wengine huitimisha na Revenge or Suicide. (Hujitendei Haki)
🌲👉🏻Break up ikikukumba, get a time to relax psychologically, take enough food that is most delicious to you, Tell your soul, "Still I can make it better"
🌲👉🏻Hatua ya pili fanya tathimini ya mahusiano since mnaanza mpaka break up inatokea, angalia wapi kuna kulikuwa na shida, nani chimbuko la matatizo?
🌲👉🏻Hatua ya tatu, Preview your Vision[Piga pichs ya maono yako, husianisha na characters, behaviors za partner wako mlo break, anza ku cross check uone je,3 Angeweza kubeba au kufanikisha ndoto zako. Bila shida?
🌲👉🏻Hatua ya nne, Fanya self evaluation, kuwa je, nina mapungufu gani, yasiyo pendwa na watu wa jinsia tofauti na Mimi? Ukiona weakness correct it before starting a new relationship., usipo oona,Tell your soul, I will get some who is best than him/her🌲👉🏻Hatua ya tano, Usianzishe new relationship before 3months, after break up kuna kipindi cha Psychological Recovery {2-3months}
👉🏻Ukifanya maanuzi ya kuanza relationship ndani ya mwezi 1, hichovni kipindi cha, bitterness, uncertainty, Generalization, Worry and Prejudgment time, uta fall under break up nyingine mapema.
🌲👉🏻Uliye mtu wa Mungu, omba, uliza mapenzi ya Mungu ktk hilo, mshukuru Mungu, mungoje Bwana.
🌲🌲Mwisho wa uchambuzi,tukutane katika mada nyingine🌲🌲
*_By Ev. Elisha Kazimoto (Baba Eve)Counselor & Psychojjlogist. Phone. 0755444078_*

No comments:

Post a Comment