🏓🏓 *KUDHARAU HISIA ZA MWENZAKO*🏓🏓
_Swali limeulizwa refu ila linalenga kujua kama watu wameanzisha mahusian,wkakaa kwa muda,mmoja akajichomo bila sababu za msingi wala kumwambia kiasi,baada ya muda na aliyeachwa akapata mtu maisha yakaenda,baadaye yule aliyemwacha mwenzake anaanza usumbufu wa kumtaka tena warudiane na huku anamtu mwingine tayari utafanyaje_
*Amajibu Mwanasaikolojia na Mchambuzi wa Masuala ya Mahusiano na Ndoa Ev Elisha Kazimoto*
Whatsapp 0755444078
........
........
*HII MADA INAHITAJI KUITAZAMA KIROHO NA KISAIKOLOJIA*
1⃣Kiroho kama kijana unapaswa kujua mke au mme anatoka kwa Bwana,kumpata unapaswa kujiridhisha kama uliye mpata anatoka kwa Mungu au kwa tamaa yako. Uliye mpata kwa Mungu tumia Gharama zote kumlinda hata itokee changamoto gani.
👉Na unapaswa kujua mahusiano yoyote yakivunjika tafuta ni kwa sababu gani yamevunjika ili ujiridhishe na maamuzi hayo ili usiingie kwenye mahusiano mengine kumbe yule bado anatibiwa na Bwana atarudi tu au uwe huru kuruhusu mahusiano mengine huyo amepita,amekuoa shule ya mahusiano basi.
*Pata somo langu la Break up kwenye mahusiano inaumiza ila ina sababu zake* nenda google (Ev Elisha Kazimoto) au fb kwenye oage zangu (Elisha Kazimoto) au omba kwenye group watu wanalo.
2⃣Kisaikolojia Mtu asiye thamini HISIA ZAKO ana maamuzi ya ovyo,yasiyo zingatia Moyo wako( kama huyo anaamua kukuacha bila sababu, hata kama kuna changamoto au tatizo,hamjazungumza kuona kwa shida hii basi tuachane kwa amani,hamkai kupeana muafaka na mkono wa kwa heri) anakupotezea anaenda huko na huko baadaye anarudi kwa lugha za upole,swali ni ULIPO NIACHA ULINIFUNGIA HAPA NIKUSUBIRIE WEWE? Wewe ndo mwanaume au mwanamke pekee kiasi kwamba unaweza ni Dump halafu muda wowote unao utaka wewe ukaja uka ni Pick😏😏😏.
👉 _Tuelewane haoa kuna mtu anakuja kwako,unasema NO,au haumpi jibu ka ndiyo wala hapana,anaenda huko na huko halafu anarudi huyu hana shida,ika nazungumzia mlioanzisha mahusiano,mmenda muda,miezi 5,mwaka 1 nk,anakupiga chenga kienyeji anapotea,hana mpango na wewe tena,baadaye anajisogeza kukutaka mrudiane huyu ni mbaya kama Ukoma_
Lazima uwe na akili ya kulinda hisia zako,mtu asiye thamini moyo wa mtu katika Love ni Hatari sana kwa Afya yako.
👉Kama lijamaa linakuacha kisa limepata mtu flani kuliko wewe pengine kwa tamaa zake, akienda huko nako anavuruga kwa tabia yake wanaachana anakurudia wewe KAMA KIPORO CHAKE yaani Kisaikolojia hawa TUNAWAPAGA SENTENSI KALI( *Umehisi mimi ni Cheapest kiasi kwamba sina thamani ya kupenda au kupendwa na mtu mwingine isipokuwa wewe tu?* When you dump a Gold others Pick it Silently.
👉Kama umeishaingia mahusiano mengine usijivurugie mahusiano tulia ba uliye naye, huyu anayeanza usumbufu wa kusema *_Shetani alimpitia_* (kuwa naye makini,urafiki mpaja shetani kwenye safari zake binafsi anaamua kukuoitua umpe Company huyo ni hatari) just block number yake na utulie na uliye naye. Usianze kuli ganisha watu itakuharibu kisaikolojia.
*Akiweza aombe mahusiano yako yavunjike halafu akae kama miaka 2,ndo umfungulie gate aje kwa unyenyekevu na uhakika kutoka kwa Mungu* usijirahisi kiwepesi hivyo unawezavunja haya,mkarudiana halafu roho ile ikainuka akakuacha tena,au mkaoana naye Asikuthamini,nikama umeokotwa hukuwa na mtu wa kukushika mkono kama asingekuwa yeye Kurudi.
*_Mchambuzi wako Mwanasaikolojia Ev Elisha Kazimoto_*
Whatsapp 0755444078
Tuesday, 4 September 2018
MCHUMBA KUDHARAU HISIA ZAKO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment