Friday, 23 November 2018

VIPI KUMKISS MCHUMBA WAKO

😘😘 *Swali: Hivi ni sahihi kumkiss rafiki yako au mchumba?*😘😘
........
........
_Anajibu msaikolojia Ev Elisha Kazimoto(WhatsApp 0755444078)_

*MADA YA KIHISIA*
_kila tendo au neno linakuwa na msukumo wa Nia nyuma yake,suala hapa la kujiuliza ni KWA NINI UMKISS? hilo tu ukilijibu utajua ubaya na uzuri wa kiss_
👉Suala la msingi hapa ni Aina za Kiss na Lengo lake.
1⃣Kiss ya kumwansha hisia mwenzako tayari kwa kuitikia sex( Romance,kiss ya muda mrefu zero distance)
2⃣Kiss ya Chap chap ya salamu( cheek kiss)
3⃣Kiss ya deep love and Intimacy (confusing kiss) kwa paji la uso.
4⃣Kiss of special care(ya mkononi)
5⃣Sex Kiss( Romance + Zero distance Hug)
_Katika hali ya kawaida,wengi upenda kiss simple ila hujikuta wanaingia sex kiss_ ndio maana  wachumba au waba mahusiano wasiopebda kuanguka dhambini, wanashauliwa kuwa open kwenye nazingira,jana ni kiss usijifiche piga openly jwa ujasiri,usisubiri mkiwa wa 2 tu, mtaanguka.
*Msaikolojia Ev Elisha Kazimoto*

No comments:

Post a Comment