Mada ya kuna athari gani kuoa mke ulombembeleza akakukataa kwanza baadaye akakukubali, vipi athari zake kwenye ndoa
Anajibu Ev Elisha Kazimoto
WhatsApp 0755444078
👉Si kila mkatao wa mwanamke umemaanisha kukukataa usiwe mme wake, mkatao huo unakuwa na maana kama mbili tatu, moja.. Bado saikolojia yake haijakusoma iambatane nawe(kubuka mwanamke,hapendi mpaka apandiwe wazo la kupendwa,yeye alizungushe akilini ili lizae wazo la Yes au No.
👆kwa sababu hiyo No inaweza kuja muda huo au muda wote ambao bado akili yake haijazungusha na kupata jibu la moja la ndiyo au hapana. Na mwanamke mpaka ashawishiwe, kumbuka wewe kijana ndo uliyejiridhisha kwa binti ndo maana ukaamua kumfuata na kutaka kuwa naye, unampandia wazo jipya,ambali hakuwa nalo, kwa hiyo ulinzi wake wa kutafuta jibu sahihi la hisia zake ni (NO, AU NTAKUPA JIBU)
👉Pili mkatao ule unaweza kuwa Unalenga kupima NIA YAKO ni muoaji au ni mwenye tamaa ya kumtumia( Are you a real husband to be or a boy of enjoyment) mara nyingi a real husband akipenda, moja hatakata tamaa kufatilia mpaka amekubaliwa, pili hata tafuta short cut kuomba basi sex kama hutaki tuoane, tatu ni msitaarabu kufatilia kwake si kwa kero,bali kwa upendo. Kwa maana hiyo wadada husema No mpaka aone nia yako ya ndani ni ipi,inaendana na shahuku yake?
👉Mkatao mwingine unalenga kukupa taarifa ya Kajipange kimaisha, wanawake wengi huwa wana worry about life style kabla ya kumkubali mtu wanataka wajiridhishe uwezekano wa kutunzwa na kuishi maisha ya furaha na amani. Kwa sababu hiyo akisema No mara ya kwanza baadaye akakukubali ni kwamba alikuwa anakupa message ya kajipange kimaisha uwe well off then come, ndo maana wengine usipo onyesha badiriko la kimaisha tangu ume propose ukirudi utaikuta No, ila ukienda ukajipanga ukirudi unakuta Yes.
👉Mkatao mwingine unamaanisha Si Muda Muafaka, wengine wadada wamejiwekea malengo ya nitaanza relationship ya kuingia kwenye ndoa nikiwa na umri kadhaa,au nikiwa level flani ya elimu, au uchumi,nk sasa ukienda kabla ya muda utakuta No mpaka muda wake ukifika ndo utaikuta Yes.
👉Mkatao mwingine niwa Kusibiri Mlinganisho,( inamaana kuwa wapo wadada wasemao No,wakisubiria wafike watu 2,3,4 ili waone kama nani yuko best kuliko wengine ndo aseme Yes kwako, akikosa atasema yes,wakija akaona umewazidi sifa waliokuja atasema yes
👉Kuna mkatao wa TOTALLY I DON'T LOVE YOU huu ni mkatao wa you dont fit to me, sasa mkatao huu una viashiria vyake, moja hutaheshimiwa kwa namba yoyote,utakatiwa simu zako zote,au hutajibiwa simu zako au ataku block,hatakusema vizuri kwa marafiki zote,utapewa majibu ya mkato tu,utaambiwa live mapungufu yako, hatapokea offers zako, na akizipokea bado hata kuomba kitu
Sasa mtu wa namba hii kijana ukitumia ushawishi mkubwa wa pesa,zawadi,wazazi wake,ndugu zake,marafiki zake ili akukubali, siku akikukubali mkaingia ndani akikisha unajipanga kwenda naye kwa taadhari, ila athari utapata heshima kidogo,lakini itabidi maea kwa mara uwe mpole kwake,utaporwa position yako ya kichwa
Jifunze kusoma ishara ya upendo ndo uokomaye naye,asiye na upendo hatakama ni Angel piga kona kwenye ndoa sura yake hutaiona, uraona matendo korofi, utajuta.
Ev Elisha Kazimoto
WhatsApp 075544078
No comments:
Post a Comment