Thursday, 2 December 2021

KUOA/KUOLEWA NA MTU USIYE TARAJIA

๐Ÿ›‘๐Ÿ›‘ *UNAWEZA KUOA AU KUOLEWA NA MTU AMBAYE HUKUTARAJIA* ๐Ÿ›‘๐Ÿ›‘
_Imeandaliwa na Mchambuzi wa Masuala ya Mahusiano na Ndoa, *Ev Elisha Kazimoto(Psychologist and Counselor*)_
Whatsapp 0755444078
Facebook : Ev Elisha Kazimoto
.......
.......
_Nisuala la *Kisaikolojia* zaidi, Ni mara nyingi kuwasikia watu wakisema maneno haya ya Mshangao, *"Hivi ilikuwaje huyu akaoa mwanamke huyu, au akaolewa na mme huyu"* na hii inakuwa mshangao siyo tu kwa watu wanaotazama, ila Wakati mwingine inaenda mpaka kwa Muhusika Muoaji au muolewaji._
⛱️Hapa kuna mambo watu wanapaswa kujua mawili....., 
1️⃣Kwanza Mahusiano yanaweza kuanzishwa katika mstari wa Hisia za Mazingira( *_Mahusiano hatari haya kama watu wataendelea kwa muda mrefu hata kuingia kwenye ndo_*)...Nitachambua baadaye shika sana hiyo.
2️⃣Mahusiano yanaweza kuanzishwa katika Mstari wa Hisia za Malengo na Sababu( *_Mahusiano yenye heri na balaa_*) ntafafanua baadaye..Shika pointi hiyo
3️⃣Mahusiano yanaweza kujengwa katika Mstari wa Hisia za Tathmini na Nia ( *_Mahusiano bora na Imara_*)
⛱️Hizo hapo juu ni aina 3 za namna mahusiano yanweza kuanza kati ya baina ya watu 2.
⛱️Unajua mahusiano ni *_Nitendo la kutumikia Hisia za mwenzako zilizoibuliwa baada ya mazingira flani kutengenezwa baina ya watu 2_*
⛱️Kuna watu walijikuta wameanza mahusiano na watu ambao hawakutegemea kama wangekuwa kwwnye mahusiano au wangeoana au Wangelala pamoja ( kufanya mapenzi)
⛱️Kuna watu wanapoishi wanakuwa na *Nia au malemgo au wazo la kutamani mtu flani angekuwa mwenzi wake au mchumba wake au mpenzi wake* Hao watu hata wakianzisha mahusiano yanakuwa hayana shida sana kisaikolojia kwakuwa kuna mtu alikuwa na wazo na nia ya kufanya hivyo.
⛱️Lakini kuna watu ambao bila kujua, bila kutegemea, *Wanajikuta wapo kwenye mahusiano na mtu ambaye Hakudhamilia,hakumuhitaji, si wa ndoto zake kabisa* lakini wanajikuta wapo kwenye mahusiano na wanafurahia na baadaye kuoana au kusex pamoja, na kubebeshana mimba.
⛱️Nini kinafanyika mpaka mtu anakuwa kwenye mahusiano na mtu ambaye hakutarajia au hakukusudia au si wa ndoto zake....?
1️⃣MAZINGIRA yanaumba mahusiano ya Dharula na kupelekea Mahusiano au Ndoa Isiyotarajiwa.
๐ŸŒนKuna watu jinsia 2 tofauti walionekana kutovutiana, au humpendi,na wala umfikirii kwa lolote....Ila *Mazingira ya Ukaribu(DISTANCE/INTIMACY ) ikaumba hisia za upendo ndani yako kwakuwa mna share vitu flani kila mara pamoja bila migongano* mfano....Mahisiano haya yanatokea kwa watu walioko  _shuleni,vyuoni,kwenye kwaya,au watu wanaofanya kazi moja kwa muda mrefu pamoja kwa siku nyingi_
๐Ÿ‘‰Watu hawa kama hawatakuwa na kuhitirafiana,magomvi, nk ujikuta kila mmoja anaanza kuvutiwa na mwenzake bila kujua.... Upendo unaozaliwa hapa Kisaikolojia tunauita *Functional Love* ni upendo wa majukumu.
๐Ÿ‘‰Kwakadri mnavyotimiza majukumu na kusaidiana majukumu vyema na kuyafanikisha vema,upendo hukua,uongezeka, hata kuzalisha *Hisia za Thamani* yaani unaanza kumuona mwenzako mnaye fanya majukumu ni bora na mzuri sana kwako.
๐Ÿ‘‰Na kanuni ya upendo inasema *Usitiri wingi wa Dhambi* yaani kwa kadri upendo unavyoongezeka ulotokana na majukumu ndivyo Sura mbaya, Shape mbaya,na mapungufu ya mwenzako yana futika unaanza kumuona mwenzako katika Upendo wa Kimapenzi wa *Muhitaji Kihisia* na hapo ndo watu ujikuta wana Sex na mtu asiyetarajia ambaye wala hawakupanga kuwa na mahusiano, wala hawajaombana urafiki, au unakuta wanaanzisha Uchumba moja kwa moja hata bila ya kuanza kutongozana,yaani urafiki wa kimajukumu unazalisha Utayari wa kuwa pamoja.
NB: _Ndiyo maana watu uwa wanapata wachumba /wapemzi kwenye field zao za kazi, wakiwa shuleni kwenye Discussion_
2️⃣MALENGO......ya mtu yanaweza zalisha mahusiano ambayo baadaye yakawa mazuri au yakaleta shida pale lengo litakaposhindwa kutimia au kubadirika.
๐Ÿ‘‰Mfano mtu anaweza kuwa na shida ya *Pesa kufanya jambo flani* lakini uwezo wa kupata pesa ile haupo lakini akatokea mtu akamsaidia wala bila masharti ya kuanzisha mahusiano, lakini kutokana na aliyesaidiwa pesa kutimiza malengo yake, *Utaanza kuota upendo wa Kujari,na Kurudisha Fadhaira* na aliye toa kwa kadri anavyo heahimiwa na kuonwa kama Mwenye Kusaidia,na mwenye upendo mwingi ndivyo na yeye anajenga Upendo wa Imani(kuaminisha yeye ni bora zaidi) na hapo ndo *Mahusiano uanza kuota* na watu wakaamua kuoana au Kusex bila hata kutongozana na kuombana urafiki au uchumba.
3️⃣TATHIMINI, Mahusiano kadhaa uanza ikiwa ni matokeo ya watu, au mtu *_Kuchunguza sifa, ubora,uwezo,hisia na mwonekano wa mtu huyo pamoja na kuwa karibu,kuishi pamoja, kusoma pamoja, kufanya kazi pamoja lakini bado mtu anajizuia kujenga au kukubali, au kusema neno la Kihisia kwa mwenzake, akihofia kutokuwa na Taarifa kamili za mwenzake za kumfanya awe bora au muhimu kwenye mahusiano.....
๐Ÿ‘‰Watu wa aina hii wakianzisha mahusiano uwa yanakuwa Imara,bora na yanadumu maana yamechanganuliwa kwa kujua nini sababu ya kuwa na huyo, anauzuri gani, ni bora kiasi gani kuzidi nani, na atamfaidisha namna gani.
NB _Hivyo ndivyo Mahusiano ya watu kuoa au kuolewa na watu ambao hawakuwatarajia ila ndo kmeisha kuwa hivyo._
*Imeandaliwana Mchambuzi wa Masuala ya Mahusianio Ev Elisha Kazimoto(psychologist & Counselor )*
Whatsapp 0755444078

No comments:

Post a Comment