đź”® *TANGAZO KWA VIJANA WENYE HUDUMA,KARAMA,VIPAJI KAZI(PROFESSIONALS MBALIMBALI)*đź”®
_Shalom mtu wa Mungu,kijana unaye nifatilia katika pages zangu na huduma yangu nakusalimu katika jina la Yesu karibu katika tangazo muhimu kwa vijana wenye huduma mbalimbali...Karibu_
👉 Huduma ya (GOSPEL FOUNDATION INTERNATIONAL( G.F.I)-Bado Liko Tumaini chini ya Mwasisi na Mkurugenzi *Ev Elisha kazimoto(Psychologist) na Katibu Mkuu Dr.Timoth John* wanakuletea habari njema wewe kijana ya namna ya kumtumikia Mungu kwa *_Viwango vya kiroho,kwa kibali cha Kimungu,Kukutambulisha Ndani na Nje ya nchi_*
👉Huduma ya G.F.I... Ni Taasisi isiyo ya Kiserikali( NGO) iliyokwenye mchakato wa kusaijiliwa serikalini inayojihusisha na Kazi kubwa ya Injili katika maono haya ya mtumishi wa Mungu.
1️⃣Kulea huduma za vijana waliookoka makanisani,vyuoni na shuleni...Kuwaandaa kumtumikia Mungu kwa viwango vya kiroho sawa sawa na Neno la Mungu.
👉Tumepewa Neema na Mungu ya kulea na kunoa na kuziwezesha huduma zote...( *Wahubiri,Waimbaji,Waombaji,wapiga vyombo vya muziki vyote,walimu wa Neno la Mungu,mitume,manabii, na viapji mbalimbali*)
2️⃣G.F.I....Inamtengenezea kijana mwenye huduma na karama na kipaji chochote mazingira rafiki *Yakutambulikana ndani ya nchi na nje ya nchi kwa kutumia Mintandao yake iliyoiweka* ili kazi zote za mwana G.F.I ziwafikie watu wote Tanzania na Duniani.
3️⃣Tumejipanga kutengeneza fursa za kiuchumi,kwa kuwapa vijana Maarifa ya Ujasiliamali na kuwapa nafasi ya kumtumikia Mungu huku wakiwa na uwezo wa kujikimu kimaisha.
4️⃣Tunaamini katika Misingi ya Neno la Mungu na Injili Halisi isiyo chakachuliwa....Tunawataka vijana waliojipanga na waliotayari Kuleta Uhamsho( Revival kanisani)katika kanisa la siku za mwisho.
5️⃣Tunashirikiana na Makanisa yote ya Kiroho yanayoamini katika wokovu na nguvu zake Yesu Kristo na Kulinda Utakatifu na Injili hai ya Yesu Kristo kwa Gharama zote( Sisi siyo Dhehebu) ni Taasisi ya Injili inayo shirikiana na makanisa yote yaaminio katika wokovu.
*SEHEMU YA VISION(MAONO YA MBEBA MAONO) NA UTEKELEZAJI WAKE*
👉Kuwaunganisha vijana wa Kitanzania na nje ya Tanzani zaidi ya laki 1 waliookoka makaniasani na kuwandaa *To Train them* katika huduma zao, kwa vitengo vyao vya huduma, kuivamia Tanzani mikoa yote Mijini na vijijini.
👉Kuwaandalia mazingira Vijana na huduma zao *Kujulikana kuwa supported ndani na nje ya nchi* kwa misingi hiyo...
1.Tupo kwenye mchakato wa Kukamilisha *Website yetu ya G.F.I*..Itakayo kuwa hewani kuanzia mwezi February 2022.
2.Tupo njiani kusajili *Online Tv ya G.F.I* itakayoanza kufanyankazi mwaka huu.. itakayo cover matukio yote ya huduma za wana G.F.I na kuzitangaza (promote) ndani na nje ya nchi....Pia tutakuwa na habari mbali mbali za kijamii( kwa maana hiyo basi pia hii ni Fursa ya Ajila kwa wana G.F.I.
3.Tupo mbioni kufungua *YouTube channel na pages* mbali mbali katika mitandao ya kijamii *Zitakazo tangaza kazi na huduma ya G.F.I na huduma na vipaji vya vijana wana G.F.I*
👉Hii ni fursa pia kwa wenye huduma na kazi zao kam waimbaji na watu wengine, *Kazi yako ikitoka inaanza na LIKE,SUBSCRIBERS,Viewers zaidi ya laki 1 ambao niwenzako vijana wana G.F.I* kwa wakati mmoja nao wana share kwa wenzao....Kwa maana hiyo kwa muda mfupi wiki 1 hadi mwezi 1 kazi yako inakuwa na watazamaji na wafatiliaji wengi....Jambo ambalo kwa sasa katika ulimwengu wa Mitandao ya kijamii *Unajitengenezea Kipato* kwa wepesi na kiurahisi.
👉Lakini pia Tutakuwa na Makongamano ya Vijana kitaifa makao makuu wote vijana kutoka mikoa yote ya Tanzania na wenzetu waishio nje ya nchi, Tutakuwa na Outreaches za Semina,Mikutano ya Injili, Matamasha ya Waimbaji ya kuinua na kutangaza vipaji vipya, Tutakuwa na Studio yetu ya Kurekodi nyimbo za Injili kwaajili ya waimbaji wetu, na Darasa la Muziki lengo kila mmoja *Atumie Talanta yake alopewa na Mungu kuwafikia watu wote duniani*
_Hayo ni baadhi ya maono machache,mengine mengi yapo katika vitabu vya miongozo, Website, na Katika Katiba yetu ya G.F.I,tunaamini tutakuwa sehemu ya watu waletao uhamsho Tanzania na nje ya Tanzania katika Injili._
*UTARATIBU WA KUJIUNGA NASI*
1️⃣ Kwanza wasiliana na Mkurugenzi (Chief Executive ) Ev Elisha Kazimoto kwa namba... *0755444078*(Whatsapp),call and sms
Email babaeve755@gmail.com
Au Katibu Mkuu ( General Secretary ) Dr. Timoth John (namba *0628012315* call/sms
2️⃣Utaungwa kwenye group la whatsapp la members wote ili kufatilia na kupata utaratibu kamili wa kujua vision,utekelezaji wake,mipango yake na namna ya Kusajiliwa nakuwa Member hai wa G.F.I kwa munibu wa katiba, kujua mikutano yetu mikuu kwa mwaka ya wanachama wote na ratiba za huduma ya injili mikoani.
NB: _Sisi ni wana Injili, siyo kikundi cha Sacco's,wala kikundi cha kuinuana kiuchumi, unapo kuja kumbuka *Kuna watu wamelipa Gharama ya Kiroho na kifedha wamemtolea Bwana Mungu wao kwaajili ya Injili na ufalme wake,njoo inbox ukiwa umeokoka,umejipanga Kumtumikia Mungu na sivinginevyo,uje ukiwa unategemea baraka kutoka kwa Mungu kwakadri utakavyokuwa mwaminifu kwa Mungu aliye hai, Uje wewe unaye *Amini katika Injili iliyo hai ya Yesu Kristo na jina lake isiyo chakachuliwa,isiyo na viambata vya kubuni na mafunuo ya kipepo yaliyopotosha wengi na injili ya Kristo, Njoo tumtumikie Mungu na sikufanya Biashara ya Huduma, Sisi tumejipanga kujiimarisha Kiuchumi ili tusiwe na injili ya kufanya biashara na maisha ya watu, Njoo Ukiwa Umejipanga Kuheshimu Maono na wabeba Maono....Tumejipanga kuyatekeleza na kuyalinda kama Tulivyo kabidhiwa na Mungu kuwafikisha vijana katika kile wanatamani kufikia katika utumishi wao_
Karibu.
*Tangazo limeandaliwa na Mkurugenzi Mkuu wa Gospel Foundation International -Bado Liko Tumaini Ev Elisha Kazimoto*
Mawasiliano.
Whatsapp 0755444078
Call.0657557570
Email. babaeve755@gmail.com
Facebook.Ev Elisha Kazimoto, na Elisha Kazimoto
©2022
No comments:
Post a Comment