*MKESHA WA MAOMBI YA KUPINDUA WAVAMIZI WA MAENEO*
*_Mnenaji Ev Elisha Kazimoto_*
WhatsApp *0755444078*
_Huu ni usiku wa washindi,ni usiku wa watu wenye malenho ya kimaisha kupata mpenyo wao,ni usiku wa ukombozi kwa vitu vilivyo vamiwa na maadui na kuviteka,leo tunavikomboa kwa upako mkuu wa Yesu Kristo, ni usiku wa kurejesha sura halisi ya vitu vilivyo poteza suea yake ya asili,ni usiku wa kurudisha matumizi ya awali ya mofumo ya maisha yetu,ambayo adui amevamia na kuanzisha matumizi yake ya uharibifu._
13 Na Pasaka ya Wayahudi ilikuwa karibu; naye Yesu akakwea mpaka Yerusalemu.
Yohana 2 :13
14 Akaona pale hekaluni watu waliokuwa wakiuza ng'ombe na kondoo na njiwa, na wenye kuvunja fedha wameketi.
Yohana 2 :14
15 Akafanya kikoto cha kambaa, akawatoa wote katika hekalu, na kondoo na ng'ombe; akamwaga fedha za wenye kuvunja fedha, akazipindua meza zao;
Yohana 2 :15
16 akawaambia wale waliokuwa wakiuza njiwa, Yaondoeni haya; msiifanye nyumba ya Baba yangu kuwa nyumba ya biashara.
Yohana 2 :16
*_Kabla ya kuoambana katika maombi,ni vizuri ukajua matumizi ya asili ya mifumo yako ya kimaisga,ukajua sura halisi na asili ya ndoa yako,biashara yako,elimu yako,uchumba wako,kazi yako,na ulivyo kusudiwa viwe ujiulize je,ndivyo vilivyo,au matumizi na sura imebadirishwa na wahuni,maadui_*
✍ Yesu akaiona nyumba ya sala(hekalu)imebadirishiwa matumizi,imekuwa ya biashara,imekuwa ya wabadili fedha, *Ndipo Yesu kwa hasira ya kiroho akatengeneza kikoto cha kamba na kuanza pindua pindua,ili kurydisha sura na uhasilia*
✍Iko mifumo ya ya maisha yako imebadirishiwa matumizi ma sura yake,unahitaji kutengeneza kikoto cha maombi nakuanza kupindua pindua *_kurudisha heshina na upendo wa ndoa yako,kurudisha ofisi yako,mtaji wako,uchumi wako,mme wako na mke wako,mchumba wako na akili yako darasani_* simama sasa Muulize adui(mchawi,pepo,shetani) kuwa ,Je, _Mungu akunipa maisha haya,(ndoa,uchumi,huduma,elimu,kazi nk)nivifurahie? Mbona sasa umeyafanya maisha yangu kuwa machungu?_ *Hapo anza kupindua moja kwa moja kwa mamlaka ya jina la Yesu,piga,pindua,haribu ita sura na matunizi asili ya maisha yako* naamini sasa waweza ingia katika maombi kwa Ujasiri.
*Mwana wa Vita Ev Elisha Kazimoto*
0755444078
No comments:
Post a Comment