❤❤IJUE SAIKOLOJIA YA MABINTI KWA NINI HUAPA KUTO OLEWA BAADA YA KUWA NA BREAK UP ZAIDI YA MOJA KATIKA MAHUSIANO ❤❤
*_By Ev Elisha Kazimoto_*
*0755444078*
❤Ifike mahari, vijana wa kiume wahurumieni vijana wa kike, ili Kuponya kizazi kijacho, la sivyo tunategemea baada ya miaka 20 ijayo kuwa na kizazi cha watu wenye uchungu, stress kali, roho za kukataliwa, watu makatiri, lakini wahuni kupitiliza na jamii kubwa ya watu wasio na ndoa, na wasio Amini katika maisha ya Ndoa
❤Lakini pia, wadada mjitambue, mjiamini, mjieheshimu, na mjue kuwa ninyi ni Wahanga wa mapenzi kwa 75% once you mercy up, you remain with 25% credits to win marriage life, contrary to boys are vice versa to you
🌲Kwanza, nature ya Wasichana wakipenda ubwaga moyo wote kwa kijana haraka (wanasahau kupima kama anaye mbwagia moyo wote ni mtu sahihii au tapeli)
🌲Pili, nature ya Wasichana ni wepesi wa kuamini na kushawishika (Niwagumu kupima maneno sahihii, na maneno ya kudanganyia)
🌲Tatu, nature ya Wasichana ni Waoga wa kuachwa katika mahusiano (wako tayari kukupa chochote utakacho ili mradi umuhakikishie kuwa naye daima) nafasi hii vijana wahuni wa mapenzi wsmeitumia ipasavyo kuwajeruhi Mabinti wengi
🎁Kwakuwa mioyo yao upenda sana mtu (kijana) kuliko maelezo, pale anapo salitiwa, hujeruhika kiwango kile kile cha upendo (hivyo uchukia sana mahusiano kuliko maelezo)
🎁Kwakuwa huamini sana (humwamini sana mpenzi wake), siku akisalitiwa upoteza Uaminifu juu ya wanaume kiwango kile kile alicho kuwa nacho
🎁Kwakuwa, wao wana Siri ya miili yao, (Ubikra) humfunulia Siri hiyo mtu aliye mwamini sana, na akisalitiwa na huyo,(Siri ikaondoka uhisi kutokuwa na thamani tena ya kuwa katika mahusiano mengine, na huamini, hakuna tena mahusiano atakayo yafurahia kama ya Mwanzo wakati bado amebeba Siri ya mwili wake)
🎁🎁Hii ni sehemu ya pili, usikose sehemu ya Tatu ya Ufumbuzi wa changamoto hii ya saikolojia mbaya na hatari katika maisha ya wadada kuwajeruhi.
🌳Huwezi Kutenganisha maisha ya mapenzi na maisha ya mwanadamu, by nature (Love =inachukua 75% ya maisha ya mtu)
🌳Kujiapiza kuwa hutaolewa, au Kuingia katika mahusiano mengine tena, kwa sababu umeumizwa siyo Suluhisho, ila ni kutengeneza msongo wa mawazo wa baadaye utakao kuwa mkubwa kuliko wa kwanza
🌳Nini Maono Ukifanye, Wewe uliye umizwa au mdada kwa ujumla;🌳🌳🌳🌳
🌳Kwanza, jua makosa ni sehemu ya maisha katika kujenga maisha yasiyo na makosa tena
🌳Pili, Usilazimishe Nafsi kuona ubaya ulo tendewa na watu 2,3 kuwa ni sample ya watu wote 10,100,1000.
🌳Usijitetee, kujipa haki katika ubaya ulo kukuta na kujiona wewe hukuchangia hata kidogo ubaya huo kutekelezwa kwako (Lazima na wewe una sehemu ya makosa ya ubaya ulotendewa)
🌳Jifunze kusoma lugha matendo ya upendo wa Dhati na lugha na matendo ya upendo wa Ngono
🌳Hili lishike sana, Upendo na Kuaminiwa, akujengwi kwa kutoa ngono kwa mpenzi wako, ila unamjengea wasi wasi wa uhakika wa kuwa mke aliye tulia ndani baada ya kukuoa (Wanaume wengi Wanapenda kuiba ila si kuibiwa)
🌳Usijweke maisha ya kuwadharau wanaume, kisa Kuna mmoja, wawili walikusaliti (Unajitengenezea mazingira magumu ya kuonekana hufai)
🌳🌳Ukiwa mtu wa kukubali haraka au kwa shingo upande Ngono kabla ya ndoa, kisa ni mchumba wako, Usimlaumu mtu yeyote (Mwanaume) wewe ndo umekuwa Tatizo
🌳Saikolojia ya Mwanaume, akimtumia mdada kumuoa zina baki 15% kati 100%)kwa nini? Anapoteza Imani na wewe ya kuendelea kuwa mwaminifu kwake
💔💔NB;Kila aliye jeruhiwa katika mahusiano, yeye naye ana mchango katka Jeraha hizo, hivyo Usimlaumu sana alokujeruhi, jilaumu kwa kushindwa kulinda moyo wako 💔💔
By Ev Elisha Kazimoto (Psychologist and Counsellor)
Wednesday, 15 February 2017
KWA NINI WADADA HUCHUKIA MAHUSIANO BAADA YA BREAK UP
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment