💙💙 *M̤̈Ä̤Ḧ̤Ṳ̈S̤̈Ï̤Ä̤N̤̈Ö̤ Ḧ̤Ä̤Ÿ̤Ä̤ Ṳ̈K̤̈Ï̤Ë̤N̤̈D̤̈Ë̤L̤̈Ë̤Ä̤ N̤̈Ä̤Ÿ̤Ö̤ Ÿ̤Ä̤T̤̈Ä̤K̤̈Ṳ̈G̤̈Ḧ̤Ä̤R̤̈Ï̤M̤̈Ṳ̈*💙💙
*_B̤̈ÿ̤ Ë̤v̤̈.Ë̤l̤̈ï̤s̤̈ḧ̤ä̤ K̤̈az̤̤̈̈ï̤m̤̈ö̤ẗ̤ö̤_*
*0755444078*
*_Ḧ̤ä̤l̤̈ë̤l̤̈ṳ̈ÿ̤ä̤ä̤ ẅ̤ä̤n̤̈ä̤ ẅ̤ä̤ ṳ̈f̤̈ä̤l̤̈m̤̈ë̤ ẅ̤ä̤ M̤̈ṳ̈n̤̈g̤̈ṳ̈,l̤̈ë̤ö̤ n̤̈ï̤s̤̈ë̤m̤̈ë̤ n̤̈ä̤ v̤̈ï̤j̤̈ä̤n̤̈ä̤ ä̤m̤̈b̤̈ä̤ö̤ m̤̈n̤̈ä̤j̤̈ï̤ä̤n̤̈d̤̈ä̤ä̤ k̤̈ṳ̈ï̤n̤̈g̤̈ï̤ä̤ k̤̈ä̤ẗ̤ï̤k̤̈ä̤ n̤̈d̤̈ö̤ä̤ n̤̈ä̤ ẅ̤ä̤l̤̈ë̤ m̤̈l̤̈ï̤ö̤ n̤̈ä̤ ẅ̤ä̤c̤̈ḧ̤ṳ̈m̤̈b̤̈ä̤,n̤̈ä̤ ẅ̤ë̤n̤̈g̤̈ï̤n̤̈ë̤ B̤̈ä̤d̤̈ö m̤̈n̤̈ä̤ẗ̤ä̤f̤̈ṳ̈ẗ̤ä̤ ä̤ṳ̈ k̤̈ṳ̈ẗ̤ä̤f̤̈ṳ̈ẗ̤ẅ̤ä̤,ẗ̤ë̤g̤̈ä̤ s̤̈ï̤k̤̈ï̤ö̤ n̤̈ï̤s̤̈ë̤m̤̈ë̤ n̤̈ä̤ẅ̤ë̤ ï̤l̤̈ï̤ n̤̈d̤̈ö̤ä̤ ÿ̤ä̤k̤̈ö̤ ï̤ẅ̤ë̤ s̤̈ä̤l̤̈ä̤m̤̈ä̤ k̤̈ä̤b̤̈l̤̈ä̤ ḧ̤ṳ̈j̤̈ä̤ s̤̈ë̤m̤̈ä̤,ḧ̤ë̤r̤̈ï̤ n̤̈ï̤n̤̈g̤̈ë̤k̤̈ṳ̈ẅ̤ä̤ s̤̈ï̤s̤̈ẗ̤ë̤r̤̈,ä̤ṳ̈ ẗ̤ö̤ẅ̤ä̤s̤̈ḧ̤ï̤ n̤̈ï̤s̤̈ï̤ö̤ë̤/k̤̈ṳ̈ö̤l̤̈ë̤ẅ̤ä̤,k̤̈ä̤b̤̈l̤̈ä̤ ÿ̤ä̤ k̤̈ṳ̈z̤̈ï̤m̤̈ë̤z̤̈ë̤ä̤ m̤̈ä̤ẗ̤ë̤ n̤̈d̤̈ö̤ä̤ z̤̈ä̤ ẅ̤ë̤n̤̈g̤̈ï̤n̤̈ë̤ ḧ̤ṳ̈k̤̈ṳ̈ ÿ̤ä̤ k̤̈ẅ̤ä̤k̤̈ö̤ ï̤n̤̈ä̤ẅ̤ä̤k̤̈ä̤ m̤̈ö̤ẗ̤ö̤ ṳ̈ä̤ï̤ö̤ z̤̈ï̤m̤̈ï̤k̤̈ä̤ m̤̈p̤̈ä̤k̤̈ä̤ ṳ̈n̤̈ä̤ï̤n̤̈g̤̈ï̤ä̤ k̤̈ä̤b̤̈ṳ̈r̤̈ï̤n̤̈ï̤._*
Ambatana nami Mchambuzi wa masuala ya Mahusiano na Ndoa, *_Mwana Saikolojia Ev.Elisha Kazimoto(Baba Eve)_* Uchambuzi huu utakuponya na ndoa ya migogoro,michepuko,stress na Jehanamu. Karibu:
✍� Vijana wote wa kike na wakiume,unapotaka kuingia katika ndoa fahamu kuwa ndoa siyo *random selection*,ni *Specific Purposeful Selection*, hatuingii katika ndoa for sex purpose, au kuzaa watoto,au kupika na kupikiwa,tunaingia katika ndoa *_Kwa Kusudi la Mungu kutimiza mapenzi ya Mungu,kuleta faida katika maisha yetu binafsi na katika ufalme wa Mungu_* huo ndo mlango wa furaha katika ndoa na upendo👇�👇�👇�👇�
*_Mithali 19 : 14 - Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na Bwana._*
✍� Kwa hiyo ikitokea umejipa mke au mme kwa hisia zako na tamaa zako,sahau amani,furaha na upendo na mkono wa Mungu katika ndoa yako.
✍�Mara nyingi ikifikia wakati wa kuoa na kuolewa,vijana wanajitoa akili kana kwamba hawajui nini kitatokea baada ya ndoa,wengi wamelazimisha kukaa kwenye mahusiano ambayo anajua kabisa *Siyo ya Kimungu*, anajua kabisa *Sina Amani nayo* Anajua kabisa Mahusiano haya siyo Salama, lakini anajikaza tu *Kwa sababu Amependa sana,ameona pesa na ulaji,amekaa sana bila kupata mtu ,sasa amempata,basi tu wazazi na ndugu wameshinikiza* Nata kukwambia mpaka hapo unaisogelea kaburi ya ndoa👇�👇�👇�👇�
*_Mithali 7 : 22 - Huyo akafuatana naye mara hiyo, Kama vile ng'ombe aendavyo machinjoni; Au mpumbavu kuadhibiwa katika pingu._*
✍�Kijana/Binti umejikaza uoane na huyo mtu asiye *Imani moja nawe(Asiye okoka)Alozini na wewe,Alo kupiga mimba, taratibu unaelekea machinjioni,ng'ombe akienda machinjioni harudi akitembea anarudi akiwa nyama ya kupikwa,na wewe ukiingia kwa ndoa na huyo mtu kwenye ndoa haturudi tukiitwa vijana, Unarudi ukiitwa Aliyeachika,Mjane,Alofukuzwa,Alotelekeza mke na watoto,* kwa mazingira hayo utaujutia ujana wako na kumlaani huyo alokuingiza kwenye ndoa hiyo,but is *Too Late*
✍�Ukitaka kuingia katika ndoa usiwe na Upendo wa kipumbavu,wa mauti,wa upofu na uziwi,hata unapenda hata huwezi kung'amua Mazingira hatarishi kwa maisha yako,unashindwa kutetea hatima yako ya maisha ya furaha ya ndoa,na hatima ya roho yako mbinguni,unapenda mpaka unasahau Thamani ya mwili wako,(Lijamaa linakuendesha na Ngono,yaani anataka ngono kwanza ndo akuoe,kila mkikutana anakuchezea mwili kama mke wake/mme wake,mpaka unatoka umejaa Hatia kibao moyoni,amani kwisha,mnanusurika chupuchupu kusex hakafu bado anakutishia kukuacha kama hukubali michezo yake na ngono,unabaki unalia * Eti unampendaaa* unapenda matatizo,unapenda laana,unapenda msaliti wa ndoa, acha kupenda mpaka unakuwa kipofu, hiyo Piga Chini. (yaani umeisha shuhudia ubovu wake,unataka Mungu aseme nawe kwa jinsi gani, PIGA CHINI huyo hakuwa fungu lako,omba upewe mwingine.)Unapenda mpaka unasahau Mamlaka ya Mungu aliyekupa akili,nguvu,hisia,uzima wa mwili wako huo mpaka unakusudia kumlipa Mungu fadhila ya Uovu na dharau mbele zake! *_Upendo huo ni wa upumbavu na unakupeleka kwenye majuto_*👇�👇�👇�
*_Mithali 7 : 7 - Nikaona katikati ya wajinga, Nikamtambua miongoni mwa vijana, Kijana mmoja asiyekuwa na akili,_* soma mpaka mstari wa 10.
✍� Kuna lugha nyingi za ushawishi zinatumika katika kumtafuta mchumba,ubembelezi mwingi,mpaka unaanguka katika zinaa,mpaka mnaamua kukubaliana kuoana watu mlo tofauti kabisa kiimani,Hiyo ndugu unaandaa Jeneza⚰⚰⚰ lako maalumu la maisha ya ndoa yako...👇�👇�👇�
*_Mithali 7 : 21 - Kwa maneno yake mengi na ulaini akamshawishi, Kwa ubembelezi wa midomo yake akamshinda._*
✍�Unang'ang'ana na nini na huyo mtu mwana Dini tu,wokovu haumo ndani yake? Mpagani,mwabudu sanamu,asiyeamini nguvu za Mungu,asiye na mkazo wa kuishi maisha matakatifu?unahisi Mungu Anapendezwa na Mahusiano yasiyotoka kwake? Unatafuta kuiweka ndoa yako chini ya Laana👇�👇�👇�
*_2 Wakorintho 6 : 14 - Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza?_*
Hivi unajua Gharama ya kulinda ndoa wewe?au unadhani ukioa na kuolewa ni mtelemko,utapambanaje wewe na adui anaye shambulia ndoa wakati umebebana na mtu ambaye maombi yake haya zidi Dakika 15,kufunga hata masaa 24 hawezi,Neno hata Yohana 3:16 hawezi kuielezea, Kuishi na kuenenda katika Roho hajui hata inamaanisha nini,kunena kwa lugha mpya kwake ni jambo lililo mbali naye kama mashariki na magharibi, Dhambi kwake yeye anaamini kila binadamu ni mkosefu,kwa hiyo Zaburi 16:3,na Wafilipi 4:13 na 1Yohana 5:1-5 hizo zote amechana kwenye Biblia yake,au hajawahi kuyasoma.sasa ndugu yangu unahitaji ndoa💍 au Jeneza?⚰
✍�Hujui ukiunganishwa kwa ndoa na *Tapeli,Mpagani,Mzinifu,Kahaba na wewe unakuwa sawa na yeye?👇�👇�👇�👇�
*_1 Wakorintho 6 : 16 - Au hamjui ya kuwa yeye aliyeungwa na kahaba ni mwili mmoja naye? Maana asema, Wale wawili watakuwa mwili mmoja._*
Mbona unajifariji eti tukioana amesema atahamia kanisani kwetu,ataokoka,kwenye wokovu hatunaga viraka,na vibanio na mikopo,Wee unamkopesha Yesu mke,mme wako eti akija tukioana atokoka! *_Umemfanya Yesu Masikini,ameishiwa vijana safi,mabinti safi mpaka unamkopesha huyo mpagani wako,unamwazimisha Yesu, Hakika wewe Umelaaniwa,na Ndoa yako haiwezi kutulia milele_*
*_M̥ͦw̥ͦḁͦn̥ͦḁͦ S̥ͦḁͦi̥ͦk̥ͦo̥ͦl̥ͦo̥ͦj̥ͦi̥ͦḁͦ n̥ͦḁͦ M̥ͦt̥ͦu̥ͦm̥ͦi̥ͦs̥ͦh̥ͦi̥ͦ w̥ͦḁͦ M̥ͦu̥ͦn̥ͦg̥ͦu̥ͦ ḁͦl̥ͦi̥ͦy̥ͦe̥ͦ h̥ͦḁͦi̥ͦ, M̥ͦw̥ͦi̥ͦn̥ͦj̥ͦi̥ͦl̥ͦi̥ͦs̥ͦt̥ͦi̥ͦ E̥ͦl̥ͦi̥ͦs̥ͦh̥ͦḁͦ K̥ͦḁͦz̥ͦi̥ͦm̥ͦo̥ͦt̥ͦo̥ͦ n̥ͦḁͦk̥ͦu̥ͦs̥ͦh̥ͦḁͦu̥ͦr̥ͦi̥ͦ h̥ͦḁͦy̥ͦḁͦ u̥ͦy̥ͦḁͦt̥ͦe̥ͦn̥ͦd̥ͦe̥ͦe̥ͦ k̥ͦḁͦz̥ͦi̥ͦ n̥ͦd̥ͦo̥ͦ n̥ͦd̥ͦo̥ͦḁͦ y̥ͦḁͦk̥ͦo̥ͦ i̥ͦw̥ͦe̥ͦ n̥ͦḁͦ m̥ͦk̥ͦo̥ͦn̥ͦo̥ͦ w̥ͦḁͦ M̥ͦu̥ͦn̥ͦg̥ͦu̥ͦ_*
💈 Usichumbie wala kuchumbiwa na Mpagani,utaingia gharama ya kushambuliwa na adui kila nyanja(kiafya,kiuchumi,kiupendo,kitendo la ndoa-michepuko,kiroho-jehanamu inakungoja), ninapo sema mpagani kwa sasa utapata shida kujua nani mpagani ,maana kila mtu sikuhizi anasema *Nimeokoka na mpenda Yesu* Lakini kwa 💯% anajua Dini,dhehebu lake,kanisa lake hawaamini kwa habari ya wokovu,anajua kabisa yupo chini ya kiongozi anayeendesha ibada ya sanamu,anajua kabisa ibada zao zote hajawahi kusikia *Utakatifu unatiliwa mkazo,na kukemea dhambi*,anajua kabisa Tangu ameanza kuabudu hapo,hajawahi sikia,wala kuona mtu anaongozwa sala ya toba,wala kuona mgonjwa mwenye pepo anaombewa na kupona, anajua kabisa yeye anafanya zinaa na kiongozi wa kanisani(pastor,mwinjilisti,kiongozi wa kwaya,praise team na washirika wenzake,au na wapagani)lakini hajawahi kuonywa,wala kugundulika na anaendelea na huduma kanisani kusimama madhabahuni, *_Na huyo naye anasema ameokoka nasali........jaza mwenyewe maana ndo unaye jua Uhai na umauti wa Roho yako katika eneo lako la ibada_* kwa hiyo kuwa makini nani unaoana naye
✍�Sasa kama unaongozwa na hisia sana kuliko Roho mtakatifu na Neno la Mungu utabambana na huyo *mwokovu bandia*, lakini Neno moja na Amini nalo ni amina na kweli nami ni shahidi wa hilo, *_Hakuna kijana/binti aliye sawa kiroho na Mungu akajibamiza kwa tapeli, ukiona unachumbia au unachumbiwa na mpagani,mwenye wokovu bandia,jua na wewe ni Mpagani na una wokovu wa kifafa_* si umepata wa kufanana nawe?
💈Ukiona mchumba wako /mtu uliye naye kwenye mahusiano anakuomba picha za utupu ili atulize hisia,au anakuomba mfanye ngono,na yupo tayari kukuacha kisa umemnyima huyo *Piga chini*(SHETANI KASORO KUFUNGIWA KWENYE SHIMO LA GIZA) hakufai, mtu huyo umepewa na ufalme wa kuzimu ili aharibu destiny yako,hajatoka kwa Mungu.
💈Ukiona mtu amekusaidia kukutunza,kukulipia ada ya chuo,pango la nyumba,na misaada yote,lakini shukrani anayo itaka ni *Ngono* hata kama ni mchumba wako *Vunja mara moja mahusiano* huyo ni Wakala wa kuzimu,amebeba mapepo ya zinaa ukioana naye utajuta.
💈Ukiona mtu mlo kwenye mahusiano naye anakwambia Zinaa ni kama dhambi zingine,tufanye tutatubu,jua huyo *Ni Shemasi kwa Kanisa la Shetani Vunja haraka uchumba huo* utaikosa amani kwenye ndoa.
*_L̥ͦe̥ͦo̥ͦ n̥ͦi̥ͦi̥ͦs̥ͦh̥ͦi̥ͦe̥ͦ h̥ͦḁͦp̥ͦḁͦ n̥ͦḁͦḁͦm̥ͦi̥ͦn̥ͦi̥ͦ u̥ͦm̥ͦe̥ͦp̥ͦḁͦt̥ͦḁͦ m̥ͦs̥ͦḁͦd̥ͦḁͦ w̥ͦḁͦ k̥ͦu̥ͦt̥ͦo̥ͦs̥ͦh̥ͦḁͦ,k̥ͦw̥ͦḁͦ m̥ͦḁͦt̥ͦe̥ͦn̥ͦg̥ͦe̥ͦn̥ͦe̥ͦz̥ͦo̥ͦ y̥ͦḁͦ n̥ͦd̥ͦo̥ͦḁͦ y̥ͦj̥ͦo̥ͦ t̥ͦḁͦr̥ͦḁͦj̥ͦi̥ͦw̥ͦḁͦ,m̥ͦḁͦs̥ͦo̥ͦm̥ͦo̥ͦ y̥ͦḁͦn̥ͦg̥ͦu̥ͦ m̥ͦe̥ͦn̥ͦg̥ͦi̥ͦ y̥ͦḁͦn̥ͦḁͦp̥ͦḁͦt̥ͦi̥ͦk̥ͦḁͦn̥ͦḁͦ k̥ͦw̥ͦḁͦ f̥ͦḁͦc̥ͦe̥ͦb̥ͦo̥ͦo̥ͦk̥ͦ,ḁͦc̥ͦc̥ͦo̥ͦu̥ͦn̥ͦt̥ͦ y̥ͦḁͦ E̥ͦl̥ͦi̥ͦs̥ͦh̥ͦḁͦ K̥ͦḁͦz̥ͦi̥ͦm̥ͦo̥ͦt̥ͦo̥ͦ,n̥ͦḁͦ k̥ͦw̥ͦe̥ͦn̥ͦy̥ͦe̥ͦ G̥ͦr̥ͦo̥ͦu̥ͦp̥ͦ l̥ͦḁͦn̥ͦg̥ͦu̥ͦ l̥ͦḁͦ W̥ͦh̥ͦḁͦt̥ͦs̥ͦḁͦp̥ͦp̥ͦ l̥ͦḁͦ M̥ͦḁͦh̥ͦu̥ͦs̥ͦi̥ͦḁͦn̥ͦo̥ͦ ,u̥ͦc̥ͦh̥ͦu̥ͦm̥ͦb̥ͦḁͦ n̥ͦḁͦ N̥ͦd̥ͦo̥ͦḁͦ_*( *Kujiunga ni kwa Interview*)
*_By Ev.Elisha Kazimoto(Baba Eve)_*
*0755444078*
No comments:
Post a Comment