Thursday, 26 August 2021

UHODARI NA USHUJAA WETU MSINGI WAKE

๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช *ILI KUSHINDA UNAHITAJI MAMBO 2..UHODARI NA USHUJAA*๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช
Mnenaji: *Ev Elisha Kazimoto*
ANDIKO KUU: *2Mambo ya Nyakati 13:1-18* ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ _Ukisoma mistari hiyo kwa utulivu halafu njoo hapa kwenye Ufafanuzi wa Roho Mtakatifu_
๐Ÿ‘‰Kila mtu aitwaye mshindi, maana yake *Amepita kizuizi kilicho lenga kumzuia asiende alikokusudia* kwenda.
๐Ÿ‘‰Kushinda pia ni kupata,kuona ulichokuwa unakitarajia......Ikiwa ni baada ya kuzuiliwa na kitu,mtu,mazingira au hali,iliyowekwa maalumu kwaajili yako kukuzuia.
๐Ÿ’ช *UHODARI* ni Tabia  au hali ya *Kujiamini* kutokana na mafunzo,mazoezi,kinga au mtu aliye nyuma yako kukusaidia.
๐Ÿ‘‰Kila mtu aliye Hodari ana namna ya wapi anapata nguvu ya kujiamini.
๐Ÿ‘‰Kwa ujumla UHODARI ni KUJIAMINI.
๐Ÿ’ชUSHUJAA....Ni hali na moyo wa Mapigano yazaayo Ushindi.
๐Ÿ‘‰Mtu shujaa maana yake ana Rekodi ya kupigana na kushinda mpinzani wake.
๐Ÿ‘‰Ushujaa ni moyo uliotayari kupigana na kushinda.
NB1,: *_Msingi wa Imani yetu ya watu tuliookoka ni Sisi ni Hodari(kwakuwa aliyenyuma Yetu ana nguvu kuliko yeyote na chochote kikwazo,au adui tutakaye kutana naye kutuzuia,au kutudhuru_*
KUMBUKUMBU LA TORATI 31:1-6

NB2: _Maisha yetu sisi watu tuliookoka, niya USHUJAA kwakuwa sisi ni watu wa vita,mapigano kwenye ulimwengu wa roho na Tunashinda kabla ya pambano kwakuwa *Vita si yetu ni ya Bwana* hivyo Ushindi ni Lazma_
*Waefeso 6:10-12, Warumi 8:31,37, 1Samweli 17:46-47*
Imendaliwa na *Ev Elisha Kazimoto*
Whatsapp 0755444078